Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu na kikosi chake

Screenshot_2024-02-15-12-20-01-1.png
 
Mbona watu wachache sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Live
Katikati ya jiji la Mwanza leo


View: https://m.youtube.com/watch?v=P-zPv6cIq7A



Maandamano yameanzia sehemu tatu za jiji la Mwanza yaani.

Maandamano hayo yenye misafara mitatu kwa upande wa Igoma yameongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

Maandamano ya kutokea Buhongwa kupitia barabara Kuu ya Kenyatta umeongozwa na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu, huku Katibu Mkuu John Mnyika msafara wake ukitokea barabara ya Airport Ilemela.

Na yote kwa pamoja kuishia katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=neMxjd_l2Do

#LIVE: MKUTANO WA CHADEMA JIJINI MWANZA BAADA YA RUTI TATU KUKUTANA NA KUFIKA VIWANJA VYA FURAHISHA



View: https://m.youtube.com/watch?v=GMTtI0sicWw
 
Yale maandamano ya Dar walisahajibiwa na umoja wa mataifa kama alivyoahidi Mbowe??
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Jitahidi kuvumilia yasiyokufarahisha. Hapo hakuna nguvu Wala vitisho vya Dola. Huo ni umati unaokwenda kwa hiari Yao.
Tanzania kuna uhuru wa maoni uchaguzi huru watu wapo huru kutoa mawazo yao bila mipaka wakisindikizwa na dola.mmejimaliza!
 
Maandamano yanaanzia sehemu tatu za jiji la Mwanza kuelekea viwanja vya Furahisha



View: https://m.youtube.com/watch?v=wu8wY5GG6ak

Historia ya jiji la Mwanza

Idadi ya wakazi wa mji wa Mwanza ni karibu watu 800,000 wakati wa siku. Hii ni kutokana na harakati kutoka miji na vijiji vya jirani wanaoingia kwa kwa biashara ndogo ndogo na shughuli nyingine za kiuchumi mbalimbali.

Kulingana na Sensa ya Taifa ya 2012, idadi yawatu katika Jiji ilikuwa 363,452 (177,812 Wanaume na 185,640 wanawake). Idadi ya watu 2016 inakadiriwa kuwa watu 459,565.
Source : https://mwanzacc.go.tz/historia
 
Baada ya maandamano nini kinafuata? Huo ujumbe wa maandamano, maisha Magumu, nauli zishuke, Katiba nk tunampa nani?.

Maandamano pekee yakushinikiza Serikali za Kiafrica ni Yale ya vurugu na kuitisha maandamano yasiyokoma mpaka a,b, c zinawekwa sawa.

Kitu kinachoitwa maandamano ya kuzururazurura tu kwa viongozi wa Africa haina msaada.
 
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi.

Hiki hapa ni kituo cha Igoma.

View attachment 2904724View attachment 2904726View attachment 2904727View attachment 2904764
Sheria za uchaguzi zinedhsjsdiliwa tayari Bungeni bado Rais tu kuzisaini. CHADEMA mlikuwa wapi wenzeni wsnato maoni yao halafu imefika mwisho meaning mawazo ya wenzenu?
 
Back
Top Bottom