Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali imefanya vyema kuruhusu haya maandamano ili kuwanyima Mbowe na genge lake kiki ya kisiasa. Haya maandamano hayana tofauti na yale MAANDAMANO YA EKARISTI kanisa la RC. Haina amsha amsha ya kisiasa. Walitegemea kutopewa kibali na kulazimisha kibabe ili kupata publicity kwenye media hasa wakati huu wa maombolezo.
 
Picha tafadhali 🙏
Screenshot_2024-02-15-11-14-44-1.png
 
Serikali imefanya vyema kuruhusu haya maandamano ili kuwanyima Mbowe na genge lake kiki ya kisiasa. Haya maandamano hayana tofauti na yale MAANDAMANO YA EKARISTI kanisa la RC. Haina amsha amsha ya kisiasa. Walitegemea kutopewa kibali na kulazimisha kibabe ili kupata publicity kwenye media hasa wakati huu wa maombolezo.
Usilie , Mambo bado
 
Wewe uza k yako mbovu kwa walevi mbwa haya mambo ya kiume tuachie wenyewe
 
Nimecheka sana leo.Hivi ili kundi la Siasa limeshindwa ata kuheshimu msiba wa mgombea wao mwaka 2015? Lakini bado nimejiuliza kua hizi jogging zetu CHADEMA ndiyo zitaweza kuondoa ugumu wa maisha nani maisha yapi? Bado tuendelee kuishauri CCM ili ibaki madarakani.
 
Si ulisema hakuna Mtanzania mwenye akili ataandamana?

Kiko wapi?
 
Nimecheka sana leo.Hivi ili kundi la Siasa limeshindwa ata kuheshimu msiba wa mgombea wao mwaka 2015? Lakini bado nimejiuliza kua hizi jogging zetu CHADEMA ndiyo zitaweza kuondoa ugumu wa maisha nani maisha yapi? Bado tuendelee kuishauri CCM ili ibaki madarakani.
Na bunge nalo basi lingesimama kuhani msiba mbona lenyewe hulizungumzii we kiazi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom