Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wananchi mwanza wamesusia maandamano: Tunachokishuhudia ni magari toka TARIME SIMIYU SHINYANGA NA TABORA
 
Baada ya maandamano nini kinafuata? Huo ujumbe wa maandamano, maisha Magumu, nauli zishuke, Katiba nk tunampa nani?.

Maandamano pekee yakushinikiza Serikali za Kiafrica ni Yale ya vurugu na kuitisha maandamano yasiyokoma mpaka a,b, c zinawekwa sawa.

Kitu kinachoitwa maandamano ya kuzururazurura tu kwa viongozi wa Africa haina msaada.
Wenye nchi ni Wananchi
 
Screenshot_2024-02-15-12-58-32-1.png
 
Sheria za uchaguzi zinedhsjsdiliwa tayari Bungeni bado Rais tu kuzisaini. CHADEMA mlikuwa wapi wenzeni wsnato maoni yao halafu imefika mwisho meaning mawazo ya wenzenu?
Watanzania tunatumia HAKI yetu ya KIKATIBA kusema hizo Sheria hatuzikubali.
 
Tuandamane tu ili tusizike wengine kwa njaa
Njaa?? Wakati mipunga itavunwa ambavyo haijawahi kutokea!. Kilo itashuka hadi 1000. Inflation itashuka dramatically at the end of this year na nyomi ya maandamano hautaiona tena
 
Ni nani *mshauri wa ruhusa za maandamano??

Mbona siyo kawaida?

Ni kwanini sasa hivi 2024/2025 mwaka wa uchaguzi?

Kuna jambo hapa si kawaida kwetu!

Zamani ilikuwa CHADEMA wakifanya maazimio tu ya kuandamana tayari taarifa za 'kiintelijensia' zinasambaa, na kuzuia maandamano.

Utii wa Katiba
 
Njaa?? Wakati mipunga itavunwa ambavyo haijawahi kutokea!. Kilo itashuka hadi 1000. Inflation itashuka dramatically at the end of this year na nyomi ya maandamano hautaiona tena
Anzeni na sukari basi
 
Back
Top Bottom