Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA wemefanya matembezi ya kufuraia kuruhusiwa kufanya mikutano wakati Taifa zima likiwa kwenye maombolezo ya kuondokewa na aliwai kua mgombea wa CHADEMA kiti cha Urais 2015 na waziri mkuu mstaafu hayati Edward Lowassa.
 
Maandamano yanayoanzia sehemu tatu za jiji la Mwanza kuishia viwanja vya Furahisha

Makamu Mwenyekiti bara CHADEMA aongoza moja ya maandamano hayo ya Mwanza

1707995879002.png
 
Wakati mwili wa Lowwassa ukipelekwa Longido,

Bunge liko live, wakati huo huo sa100 Yuko ziara Nchi za nje!!

Fafanua Hilo pia.
 
Maandamano yanayoanzia sehemu tatu za jiji la Mwanza kuishia viwanja vya Furahisha

Makamu Mwenyekiti bara CHADEMA aongoza moja ya maandamano hayo ya Mwanza

View attachment 2904936

15 February 2024
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), Tundu Lissu amesema mwitikio mkubwa wa wananchi kwenye maandamano ya amani jijini Mwanza ni ishara wamechoshwa na changamoto ikiwamo ugumu wa Maisha. Lissu ametoa kauli hiyo alipohojiwa na Mwananchi Digital wakati wa maandamano hayo yaliyoanzia Buhongwa kwenda Uwanja wa Furahisha.Hata hivyo, mwanaharakati na wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kufurahisha na mapokezi ya wakazi wa Kanda ya Ziwa

View: https://m.youtube.com/watch?v=mwUPHrR2jLQ
 
Mimi ni mwajiriwa huu muda wa kazi. Nikifukuzwa nitakula kwenu?
Ndio uishukuru CCM kwa kukupa mshahara wa kulisha familia Yako

Chadema waachie Wafanyabiashara akina Heche

Zamani pale DSA ukianza Naboce tu unapewa na kadi ya CCM 😂😂😂🔥
 
Nimecheka sana leo.Hivi ili kundi la Siasa limeshindwa ata kuheshimu msiba wa mgombea wao mwaka 2015? Lakini bado nimejiuliza kua hizi jogging zetu CHADEMA ndiyo zitaweza kuondoa ugumu wa maisha nani maisha yapi? Bado tuendelee kuishauri CCM ili ibaki madarakani.
Msiba ni jambo la Mungu na maandamano nayo ni ya Mungu
 
Back
Top Bottom