Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Sidhani kama mwakani mtapata Mgombea Urais! Yaani Mgombea Urais wenu hata kuzikwa bado nyie mko mabarabarani eti maandamano? Ujinga gani huo? Ngoja tuone siku Mbowe akifa kama mtamuacha mochwari ili mkaandamane!
 
Hoja yako ni ya kipuuzi
 
Maandamano yanaanzia sehemu tatu za jiji la Mwanza kuelekea viwanja vya Furahisha

View: https://m.youtube.com/watch?v=wu8wY5GG6ak

Historia ya jiji la Mwanza

Idadi ya wakazi wa mji wa Mwanza ni karibu watu 800,000 wakati wa siku. Hii ni kutokana na harakati kutoka miji na vijiji vya jirani wanaoingia kwa kwa biashara ndogo ndogo na shughuli nyingine za kiuchumi mbalimbali.

Kulingana na Sensa ya Taifa ya 2012, idadi yawatu katika Jiji ilikuwa 363,452 (177,812 Wanaume na 185,640 wanawake). Idadi ya watu 2016 inakadiriwa kuwa watu 459,565.
Source : https://mwanzacc.go.tz/historia

Kwanini unatoa Outdated Statistics Tuna sensa ya mwaka 2022 Au wewe mwenzetu hujui ilo?
 
Erythrocyte atanisamehe kwakweli, upinzani sometimes unasaidia. Ila kushika nchi hapana kwa kweli, (Ubaguzi, udini na ukabila) hivi vitu kama wataacha watafika mbali, japo sio wote wapo hivyo.
 
Erythrocyte atanisamehe kwakweli, upinzani sometimes unasaidia. Ila kushika nchi hapana kwa kweli, (Ubaguzi, udini na ukabila) hivi vitu kama wataacha watafika mbali, japo sio wote wapo hivyo.
Kuna watu wadini na wakabila kuzidi sisiemu?
 
Erythrocyte atanisamehe kwakweli, upinzani sometimes unasaidia. Ila kushika nchi hapana kwa kweli, (Ubaguzi, udini na ukabila) hivi vitu kama wataacha watafika mbali, japo sio wote wapo hivyo.
Tukusamehe kwenye nini ?
 
Jitahidi kuvumilia yasiyokufarahisha. Hapo hakuna nguvu Wala vitisho vya Dola. Huo ni umati unaokwenda kwa hiari Yao.
kuna umati wapi hapo kwenye hayo mahangaiko acha upotoshaji wew 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Back
Top Bottom