Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni maandalizi ya nusu mkate,kibano Cha kimataifa Cha miaka SITA ya jpm kimeleta pressure kubwa kimataifa kiasinkwamba linahitjika Binge lililobalance vizuri!!

Mama anakubali haya kwa shingo upande na hamna namna!!
Chadema haihitaji huo utopolo wako , inakitaka kiti cha Urais 2025 liwake au inyeshe
 
Ni nani *mshauri wa ruhusa za maandamano??

Mbona siyo kawaida?

Ni kwanini sasa hivi 2024/2025 mwaka wa uchaguzi?

Kuna jambo hapa si kawaida kwetu!

Zamani ilikuwa CHADEMA wakifanya maazimio tu ya kuandamana tayari taarifa za 'kiintelijensia' zinasambaa, na kuzuia maandamano.
Mama hatakiwi
 
We nenda Arusha ukadungwe ngumi za uso huku hapakufai
Monduli Jmosi mkuu nitakua mstari wa mbele sana na Mama yetu ambae sote tunampenda sana Rais,Dr SSH

halafu,
wacha nikufinye kiskio kidogo, Chairman Taifa statesmen mwamba wa kaskazini FAM yupo kwenye protocol ya watoa salamu za Rambirambi kitaifa siku iyo 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Chadema haihitaji huo utopolo wako , inakitaka kiti cha Urais 2025 liwake au inyeshe
Unajua fika Hilo halipo hata kidogo!

Ccm imewekwa na Mungu Ili itawale Tanzania!!

Kupiga kura pekee hakutoshi kukupa Dola Bali Dola ionapo umuhimu wako ndio hukupigania kukupa dola!!
 
Hayataleta madhara kwenye kiti cha magogoni?
Imeshaamuliwa anaesimama sio mama tena japo anapenda asimame!!Hana ushawishi wa kutosha huku bara!

Kiti kitabaki CCM,kupewa kiti ni zaidi ya kura za wananchi hasa katika nchi zetu za Dunia ya tatu!

Upinzani wataambulia wabunge wengi sana na waziri mkuu pia lakini sio kiti!!

Mbowe anapigiwa chapuo la uwaziri mkuu na kukubaliwa Kwa maandamano ya chama chake ni dalili ya kuaminika na wenye dola!!
 
Chadema haihitaji huo utopolo wako , inakitaka kiti cha Urais 2025 liwake au inyeshe
urais nje ya ccm hii nchi ngumu bado kufika huko,,,hapa ni kuongeza wabunge tu ,wakilegeza zaidi labda wawape na uwaziri ila urais sio karibuni
 
Imeshaamuliwa anaesimama sio mama tena japo anapenda asimame!!Hana ushawishi wa kutosha huku bara!

Kiti kitabaki CCM,kupewa kiti ni zaidi ya kura za wananchi hasa katika nchi zetu za Dunia ya tatu!

Upinzani wataambulia wabunge wengi sana na waziri mkuu pia lakini sio kiti!!

Mbowe anapigiwa chapuo la uwaziri mkuu na kukubaliwa Kwa maandamano ya chama chake ni dalili ya kuaminika na wenye dola!!

Aisee sawa mkuu
 
Ni nani *mshauri wa ruhusa za maandamano??

Mbona siyo kawaida?

Ni kwanini sasa hivi 2024/2025 mwaka wa uchaguzi?

Kuna jambo hapa si kawaida kwetu!

Zamani ilikuwa CHADEMA wakifanya maazimio tu ya kuandamana tayari taarifa za 'kiintelijensia' zinasambaa, na kuzuia maandamano.
Hiyo ni agenda ya mama , hata huko kwenye mihangaiko ya kulitafutia chakula taifa ndio agenda kuu kuwa demokrasia imestawi ...
 
Back
Top Bottom