Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Pre GE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nafuatilia kwa karibu sana mahangaiko yenu hapo mwanza,

na actually nimeomgea na singo kigaila muda mfupi ulopita ameniambia anapata maji kidogo mahali amechemsha sana...

ameniambia kuna changamoto ya mtandao kidogo online, limepokelewa hilo..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
We nenda Arusha ukadungwe ngumi za uso huku hapakufai
 
Aliyekuambia nimeajiriwa na CCM nani. Sina cha kuishukuru 😀😀😀
CCM ndio Chama DOLA na wewe hapo Kibaruani kwako unapotunza kumbukumbu za Fedha zinazozalishwa na Wanaume huku mtaani unatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi 😂😂😂
 
Miaka yote Dar imekuwa inajivuta kwenye siasa za upinzani. Kila mara nguvu huanzia mikoani kisha Dar hufuata. Kinyume kabisa na majiji mengine makuu ambapo mageuzi huanzia.
Kabisa mkuu
 
1708001300441.png
 
CCM ndio Chama DOLA na wewe hapo Kibaruani kwako unapotunza kumbukumbu za Fedha zinazozalishwa na Wanaume huku mtaani unatekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi 😂😂😂
Acha uongo wewe , umepaka majivu jana hata hayajafutika uneanza kupotosha !
 
CHADEMA wemefanya matembezi ya kufuraia kuruhusiwa kufanya mikutano wakati Taifa zima likiwa kwenye maombolezo ya kuondokewa na aliwai kua mgombea wa CHADEMA kiti cha Urais 2015 na waziri mkuu mstaafu hayati Edward Lowassa.
Pointless. Mbona Mawaziri waliosimamiwa na Mzee Lowasa wako kazini? Mama nae yuko ziarani kikazi?
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI embu niambie falsafa iliyopo nyuma ya pazia ya kuruhusu maandamano?

Ni ushauri sahihi kwa namba moja, au ni nini haswa?
Ni maandalizi ya nusu mkate,kibano Cha kimataifa Cha miaka SITA ya jpm kimeleta pressure kubwa kimataifa kiasinkwamba linahitjika Binge lililobalance vizuri!!

Mama anakubali haya kwa shingo upande na hamna namna!!
 
Hayataleta madhara kwenye kiti cha magogoni?
 
Back
Top Bottom