Picha yangu ya leo asubuhi, hamjambo marafiki zangu?

kuifinyia ndani tena? ndio nini
 
Delutions tu na akili zilizokaa kingono ngono ndio huwa zinaona haya.
Hakuna maajab yoyote kwenye sex.
 
naomba uwe mkojani wangu basi

Aahahahahahaa nimestaafu mie saa hizi, ukifunzi nao ni kazi pevu.

Ila ntakutafutia tuisheni moja hivi iko Kinoklein aka Kinondoni.

Ukifuzu mafunzo kama huna mke unapatiwa hapohapo bure...
 
Aahahahahahaa nimestaafu mie saa hizi, ukifunzi nao ni kazi pevu.

Ila ntakutafutia tuisheni moja hivi iko Kinoklein aka Kinondoni.

Ukifuzu mafunzo kama huna mke unapatiwa hapohapo bure...
naanza na wewe unipe ABC Hahaha, wakongwe nyie ndio mnavitu kama hivyo sivijui najua inama nikulenge basi
 
naanza na wewe unipe ABC Hahaha, wakongwe nyie ndio mnavitu kama hivyo sivijui najua inama nikulenge basi

Ujue wanaotekwa na watu wasiojulikana wanawekewaga mitego kama hii eehehehehe, utani karibu na kweli πŸ˜›.

Unapewa maufundi hadi unasahau kama uko ulimwenguni, akili ikijakurudi saa mingii watu wanatafuta, mara ya mwisho tulimuona gym baada ya hapo hatujui aliekea wapi....πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Mie sina madhara tena Mkuu, nimekuwa butu kwisha habari yangu sina makali na makeke tena, nimebaki debe tupu tuu πŸ˜….
 
debe tupu halikosi ukoko, ujue tunaharibu uzi wa mtu, tutoke pemben
 
debe tupu halikosi ukoko, ujue tunaharibu uzi wa mtu, tutoke pemben

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ€πŸ€πŸ˜·πŸ˜·πŸ˜·πŸ˜·πŸ˜·πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ.
 
ewaa hapo hapo kwenye mkeka, nakuja na kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…