Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
kuifinyia ndani tena? ndio niniEehehehehehheee hizo ni mbinu za medani, si kila mwanamke anazijulia...
Ni kama kufinyia ndani, kuna waliokuwa hawajui wamejifunza kwa kusoma namna inatakiwa kufanywa...
Ila ukikuta yule anafahamu kushughulikia jambo kiasili na akalishika.... hata anapokunawisha maji ya kunawa mkono ile ya kutumia beseni na jagi utasema unasingwa au unakogeshwa eehehehehee.