Picha yangu ya leo asubuhi, hamjambo marafiki zangu?

Eehehehehehheee hizo ni mbinu za medani, si kila mwanamke anazijulia...

Ni kama kufinyia ndani, kuna waliokuwa hawajui wamejifunza kwa kusoma namna inatakiwa kufanywa...

Ila ukikuta yule anafahamu kushughulikia jambo kiasili na akalishika.... hata anapokunawisha maji ya kunawa mkono ile ya kutumia beseni na jagi utasema unasingwa au unakogeshwa eehehehehee.
kuifinyia ndani tena? ndio nini
 
Delutions tu na akili zilizokaa kingono ngono ndio huwa zinaona haya.
Hakuna maajab yoyote kwenye sex.
 
naomba uwe mkojani wangu basi

Aahahahahahaa nimestaafu mie saa hizi, ukifunzi nao ni kazi pevu.

Ila ntakutafutia tuisheni moja hivi iko Kinoklein aka Kinondoni.

Ukifuzu mafunzo kama huna mke unapatiwa hapohapo bure...
 
naanza na wewe unipe ABC Hahaha, wakongwe nyie ndio mnavitu kama hivyo sivijui najua inama nikulenge basi
 
Ujue wanaotekwa na watu wasiojulikana wanawekewaga mitego kama hii eehehehehe, utani karibu na kweli 😛.

Unapewa maufundi hadi unasahau kama uko ulimwenguni, akili ikijakurudi saa mingii watu wanatafuta, mara ya mwisho tulimuona gym baada ya hapo hatujui aliekea wapi....😄😄😄.

Mie sina madhara tena Mkuu, nimekuwa butu kwisha habari yangu sina makali na makeke tena, nimebaki debe tupu tuu 😅.
 
debe tupu halikosi ukoko, ujue tunaharibu uzi wa mtu, tutoke pemben
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤐🤐😷😷😷😷😷🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.
 
ewaa hapo hapo kwenye mkeka, nakuja na kahawa
 
Back
Top Bottom