Picha yangu ya Leo. Hongereni sana mliofika hapa

Jana nilikuwa kigamboni barabara ya darajani nimeona namba E karibia gari 6.
 
Hizi herufi kazi ipo aiseee…….. Hata kama gari ni mtumba (used) wa mwaka 1995 ikiingia leo bongo inapewa namba ya kuanzia na E..
Hizi namba hazi reflect upya wa gari bali zina reflect mtumba umeingia lini bongo.
 
Sidhani kama namba inareflect ubora wa gari,ila ni siku gari imeingia nchini tu..........aliyenunua zero km na aliyenunua mtumba km1000 wote ni E
 
Sidhani kama namba inareflect ubora wa gari,ila ni siku gari imeingia nchini tu..........aliyenunua zero km na aliyenunua mtumba km1000 wote ni E
elewa mada.
otherwise asante kwa mchango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…