Picha yangu ya leo

Hakuna ubaya. Mtoto wako sio lazima awe 'biological'. Unaweza kuasili mtoto aliezaliwa na wazazi wengine au kuoa manamke/kuolewa na mwanaume ambae ameshazaa na mwanaume/mwanamke mwingine.

Automatically huyo mtoto anakuwa wako. Kipi cha ajabu hapo?
 
Hajaishiwa kuchapiwa na kithibitisho juu. Ukiamuliwa kuumbuliwa, ndiyo haya mtoto Mchina. Ila pia kama siyo wao, wamemmbeba tu ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” nawaza
 
Hakuna ubaya. Mtoto wako sio lazima awe 'biological'. Unaweza kuasili mtoto aliezaliwa na wazazi wengine au kuoa manamke/kuolewa na mwanaume ambae ameshazaa na mwanamke/mwanamke mwingine.

Automatically huyo mtoto anakuwa wako. Kipi cha ajabu hapo?
Nakubaliana nawe, Ila Jamii haitoacha kukusema ( Kukuteta ).
 
Mtoto kafanana sana macho na baba yake,hizo kucha zilivyofupifupi ni baba yake kabisa.....Yaan lip ya chini hii baba yake huyu hapa....Usiku ndo kabisa hajui kulala kama baba yake!!! Alisikika mama mmoja akimnadi mwanae Kwa mashost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ