Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiwa South Africa au China?
Fang Li hajaishia kupalilia barabara tu, amepalililia mpaka wake za watu🤣🤣
Bongoland😂Wakiwa South Africa au China?
Naam mkuu
Ona hapo juuNaam mkuu
Huyu mtoto wetu mchina?😂Ona hapo juu
Kitanda hakizai haramu
Nakubaliana nawe, Ila Jamii haitoacha kukusema ( Kukuteta ).Hakuna ubaya. Mtoto wako sio lazima awe 'biological'. Unaweza kuasili mtoto aliezaliwa na wazazi wengine au kuoa manamke/kuolewa na mwanaume ambae ameshazaa na mwanamke/mwanamke mwingine.
Automatically huyo mtoto anakuwa wako. Kipi cha ajabu hapo?
Ndio ukweli huo. Ila wengi wanaamini kuwa wanalelea watoto wao kumbe ni watoto wa watu wengine.Nakubaliana nawe, Ila Jamii haitoacha kukusema ( Kukuteta ).
Hapo labda nitoe sahani tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji1493][emoji1493][emoji1493]