Picha yangu ya leo

Picha yangu ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
386767c2-22cb-47b4-b564-751c2472a5e7.jpg
 
Hakuna ubaya. Mtoto wako sio lazima awe 'biological'. Unaweza kuasili mtoto aliezaliwa na wazazi wengine au kuoa manamke/kuolewa na mwanaume ambae ameshazaa na mwanaume/mwanamke mwingine.

Automatically huyo mtoto anakuwa wako. Kipi cha ajabu hapo?
 
Hajaishiwa kuchapiwa na kithibitisho juu. Ukiamuliwa kuumbuliwa, ndiyo haya mtoto Mchina. Ila pia kama siyo wao, wamemmbeba tu 🤔🤔🤔 nawaza
 
Hakuna ubaya. Mtoto wako sio lazima awe 'biological'. Unaweza kuasili mtoto aliezaliwa na wazazi wengine au kuoa manamke/kuolewa na mwanaume ambae ameshazaa na mwanamke/mwanamke mwingine.

Automatically huyo mtoto anakuwa wako. Kipi cha ajabu hapo?
Nakubaliana nawe, Ila Jamii haitoacha kukusema ( Kukuteta ).
 
Mtoto kafanana sana macho na baba yake,hizo kucha zilivyofupifupi ni baba yake kabisa.....Yaan lip ya chini hii baba yake huyu hapa....Usiku ndo kabisa hajui kulala kama baba yake!!! Alisikika mama mmoja akimnadi mwanae Kwa mashost.
 
Back
Top Bottom