Picha yenye maelezo: Wabara milioni 59 kupata wawakilishi 20 na Wazanzibari milioni 1.8 kupata idadi sawa haijakaa sawa

Picha yenye maelezo: Wabara milioni 59 kupata wawakilishi 20 na Wazanzibari milioni 1.8 kupata idadi sawa haijakaa sawa

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,968
Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.

watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.

milioni 59.png
 
Nimetoka kapa dadadek duuuh sijaelewa chochote hiki kibonzo au?
 
Huyu ndio nmemuelewa mkuu, ukiwa unaandika inabidi utulie kidogo
watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.

huu Muungano mtamu sana
Ukiandika mada tuliza ubongo kuna watu wanatoka kapa humu, hapa umeandika sijui nini alafu umeweka picha km kibonzo watu hawaelewi
Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.
 
Back
Top Bottom