Nimewaza kama wewe tuu, ata bara watoke buku mambo ni yale yale tuuAs long as kati yao hakuna anayewakilisha maslahi ya Taifa hakuna shida, hicho ni kijibaraza cha kutafuna nchi
Good!! ✔️ Ili akili zenu ziwakae vizuri dhidi ya huo Muungano wenu wa changu changu, changu chako. Kiukweli huwezi kuwatenganisha hao watu na ukupe.Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.
watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
View attachment 2438703
Ni Bara ndiyo wanaong'ang'ania muungano,uchaguzi hupelekwa jeshi kule,1995 mtangaza matokeo alioneshwa Bomba,majira liliandika seif kashindaGood!! ✔️ Ili akili zenu ziwakae vizuri dhidi ya huo Muungano wenu wa changu changu, changu chako. Kiukweli huwezi kuwatenganisha hao watu na ukupe.
Kila siku wanalalamika Muungano haufai, ukiwaambia wajitoe/wajitenge! Hawataki!!!
Bunge la tanzania uwakilishi ni sawa???Hata Scotland au Wales hawana uwakilishi sawa na England kwenye bunge la commons. Huu ujinga wanao wanaccm tu dunia nzima
Haya ni mambo ya chama cha siasaGood!! ✔️ Ili akili zenu ziwakae vizuri dhidi ya huo Muungano wenu wa changu changu, changu chako. Kiukweli huwezi kuwatenganisha hao watu na ukupe.
Kila siku wanalalamika Muungano haufai, ukiwaambia wajitoe/wajitenge! Hawataki!!!
Kwa percentage Zanzibar wana wabunge wengi sana kuliko baraBunge la tanzania uwakilishi ni sawa???
Mwl Nyerere alituingiza chaka na degree yake Edinburgh University ilikuwa ya michongo.Kwa percentage Zanzibar wana wabunge wengi sana kuliko bara
Idadi ya watu Zanzibar ni 1,800,000. Hawa wanawakilishwa na wabunge 50 kwenye bunge la JMT. Hii ni sawa na mbunge 1 kwa watu 36,000.
Sasa angalia Dar peke yake ina wabunge 10 na idadi ya watu 5,300,000...maana yake mbunge mmoja wa Dar es Salaam anawakilisha watu 530,000.
Hata ukichuku mkoa mwingine mfano Mwanza au hata Kagera ukalinganisha uwiano wa wabunge na wananchi utaona Zanzibar bado inapendelewa sana sana.
Ilibidi ubunge utolewe kwa idadi ya watu kwa kweli tunataka kuwe na uwiano sawa. Zanzibar inapaswa kuwa na wabunge 3 tu kwenye bunge la JMT ili angalau iwe sawa na uwakilishi wa wabunge wa Dsm
Wanawakilisha familia yako?Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.
watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
View attachment 2438703
Ndivyo walivyokubaliana waache waishi makubaliano yaoKwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.
watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
View attachment 2438703
CCM NI [emoji117][emoji90][emoji117][emoji90][emoji117][emoji90]Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.
watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
View attachment 2438703
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa common sense ya kawaida kabisa ukitazama hii picha unapata jibu.
watu milion 2 wanawakilishwa na watu 20 na watu milioni 58 nao wanawakilishwa na watu 20.
View attachment 2438703