Picha za CHADEMA ambazo CCM hawapendi zionekane

💪💪💪💪💪✌✌✌✌✌✌
 
Tukutane uwanjani fainal Oktoba 28.
Mungu ibariki Tanzania yetu.
 
Kwahiyo hizi picha ndo mtatumia kuomba kura!
Kwani picha ndo zilitumika watz kuchanga na kumtibu Lissu?
Picha ndo zimechanga na kuwatoa gerezani viongozi wa chadema?
Picha ndo zimetumika maelfu kumpokea Lissu na kutembea kwa miguu mpaka Ufipa?

Tumia akili zako vzr usiwe mlamba makalio kwa ajili ya kupata tuvyeo km wenzako wa lumumba....
Badilika chukua hatua watz wanataka mabadiriko wanamtaka Tundu Lissu awe Rais wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…