Picha za CHADEMA ambazo CCM hawapendi zionekane

Picha za CHADEMA ambazo CCM hawapendi zionekane

Chadema ndio chama pekee Tanzania chenye watu wenye furaha na upendo kuliko vyama vyote .
FB_IMG_1596578017474.jpeg
 
Rudisheni viwanja vya kichezo na ofisi mlizopora kwa wananchi wanyonge wa Tanzania[emoji2087][emoji111]
CCM ipo madarakani inasimamia mambo ya kitaifa nyinyi utopolo mnajifariji tu.
 
Mnashangilia picha
Hongereni lakini!

Uwepo wa upinzani hasa upinzani unaojitambua Ni kichocheo Cha maendeleo!
 
Haya yote magufuli anafanya ni sera na ilani za chadema toka 2005.

Kama siyo chadema haya mambo anayo fanya magufuli tusinge yasikia kabisa..

Ebu kuwa na adabu unapo ongea mbele ya chadema[emoji1][emoji39][emoji111]

Adabu ipi Tena unaitaka kwangu?
 
Siasa Za Tanzania kujiunga nazo inabidi uwezo wa kufikri uwe chini Sana na ubaki unatumia vionjo tu.
 
Ni yeye 2020[emoji111][emoji39][emoji1][emoji123]
FB_IMG_1596657092222.jpeg
 
Chadema mpango wa Mungu..[emoji1][emoji39][emoji111]
FB_IMG_1595514837623.jpeg
 
saccos ya Mangi awamu hii wajitahidi wajenge hata ofisi ya chama kwanza ni aibu! wanajinadi watailetea maendeleo nchi wakati chama hakina hata kibanda huu si utapeli [emoji23] halafu hizo unifomu utakuta mangi na akiuzia chama
Haiwezekani , Mangi Mlevi kuacha hela ya Pombe ikajenge ofisi.
 
Back
Top Bottom