Picha za CHADEMA ambazo CCM hawapendi zionekane

Picha za CHADEMA ambazo CCM hawapendi zionekane

Hii ndio picha iliyo tia hasira Mshauri wa ccm bwana Mtungi..
FB_IMG_1596578011654.jpeg
 
Smile ya wana chadema inatesa sana wanaoisbi kwa mbeleko ya polisi.
FB_IMG_1596578017474.jpeg
 
[emoji123][emoji123][emoji120][emoji120]
 
Wahuni wanapanga njama haramu za kuingia madarakani ili waibe raslimali za nchi yetu,Mungu anawaona,hamtafanikiwa kamwe, JPM for 2020-2025
 
Nilishaulizaga huyu mtu ni nani, alifanya nini hadi hawa waliovaa kijani kumwandama hivyo, na mwisho wake ulikuwa nini? Msaada tafadhali
Hajafanya lolote , 'kosa' mwanachama wa upinzani. Wahuni ccm na roho zao mbaya na dhana hovyo kabisa eti wao ndio wamiliki wa nchi mwisho wataitumbukiza Tanzania kwenye machafuko.
 
Membe haamini kama huyu ndiye lisu

Ni yeye[emoji39][emoji111]
FB_IMG_1596624594552.jpeg
FB_IMG_1596622294139.jpeg
 
saccos ya Mangi awamu hii wajitahidi wajenge hata ofisi ya chama kwanza ni aibu! wanajinadi watailetea maendeleo nchi wakati chama hakina hata kibanda huu si utapeli 😂 halafu hizo unifomu utakuta mangi na akiuzia chama
 
NI yeye.. Mungu amemnusuru na risasi 16.

Wale walidhani kutokwenda kumjulia afya yake hospitali atakufa.. basi kaja sasa..[emoji1][emoji39][emoji111]
20200805_184856.jpeg
FB_IMG_1596641130618.jpeg
 
Billion 10 zilizo nunua wabunge na madiwani zingejenga vituo vya afya 20 vizuri..
Aliyetoa wazo la kuwanunua wabunge wa Chadema sijui huwa anajisikiaje huko aliko,

Wakafikia hatua hadi ya kumnunua James Mbatia maskini
 
Back
Top Bottom