Picha za CHADEMA ambazo CCM hawapendi zionekane

Smile ya wana chadema inatesa sana wanaoisbi kwa mbeleko ya polisi.
 
[emoji123][emoji123][emoji120][emoji120]
 
Lijualikali yuko wapi hapo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Wahuni wanapanga njama haramu za kuingia madarakani ili waibe raslimali za nchi yetu,Mungu anawaona,hamtafanikiwa kamwe, JPM for 2020-2025
 
Nilishaulizaga huyu mtu ni nani, alifanya nini hadi hawa waliovaa kijani kumwandama hivyo, na mwisho wake ulikuwa nini? Msaada tafadhali
Hajafanya lolote , 'kosa' mwanachama wa upinzani. Wahuni ccm na roho zao mbaya na dhana hovyo kabisa eti wao ndio wamiliki wa nchi mwisho wataitumbukiza Tanzania kwenye machafuko.
 
Membe haamini kama huyu ndiye lisu

Ni yeye[emoji39][emoji111]
 
saccos ya Mangi awamu hii wajitahidi wajenge hata ofisi ya chama kwanza ni aibu! wanajinadi watailetea maendeleo nchi wakati chama hakina hata kibanda huu si utapeli πŸ˜‚ halafu hizo unifomu utakuta mangi na akiuzia chama
 
NI yeye.. Mungu amemnusuru na risasi 16.

Wale walidhani kutokwenda kumjulia afya yake hospitali atakufa.. basi kaja sasa..[emoji1][emoji39][emoji111]
 
Billion 10 zilizo nunua wabunge na madiwani zingejenga vituo vya afya 20 vizuri..
Aliyetoa wazo la kuwanunua wabunge wa Chadema sijui huwa anajisikiaje huko aliko,

Wakafikia hatua hadi ya kumnunua James Mbatia maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…