OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Wadada wazuri sana hawana zile sura za kichawi chawi.Smile ya wana chadema inatesa sana wanaoisbi kwa mbeleko ya polisi.View attachment 1527401
Hicho chama kilishakufaMataga yatakua yanapita kimya kimya.!
Nimesikia mtu anasema Urais ni kazi ngumu kweli, analalamika eti hiyo kazi anajitolea kweli
CCM ipo madarakani inasimamia mambo ya kitaifa nyinyi utopolo mnajifariji tu.
Haya maCCM ni majitu ya kiqumer sana. Watu 100 wanataka kumuua mtu mmoja kwa mawe?
Unamaanisha kuwa ccm inasimamia wizi kitaifa.