Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
c7c2aaaaee67f8adadf7d4109eeeb6f1.jpg
 
Ukitaka kuwa maarufu BONGO fanya kitu kisicho cha Kawaida..
Na utashangaa ana Followers wengi kuliko hata....
 
Tatizo huna kazi za kufanya.

Utaumiaje roho kwa mambo yasiyo kuhusu?

Halafu huu ni unafiki tu,kama hutaki kuona picha zake si um-unfollow!!
 
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
c7c2aaaaee67f8adadf7d4109eeeb6f1.jpg

Mimi sioni ubaya akifanya kile roho yake unapenda binadamu anaishi atakavyo sio vile wewe utakavyo ata wanangu mimi sintokaa niwapangie waishije ni vema kueshemu maamuzi ya mtu
 
Iv ana miaka mingp? Nliskia ana 18 sijui ni kweli km ni kweli akifka miak 25 sijui atakuwa n hali gani
 
Back
Top Bottom