Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

aaaah!!sasa nini kipya hapa?tushaona mipaja....watu wameka mijiuchi huyu cha mtoto.mbona nick minaj akika hivyo sio issue.wacha watu kama wamejaliwa watuonyeshe barakaa zao bana sheik............mtoto mashalaaaaaah
 
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
c7c2aaaaee67f8adadf7d4109eeeb6f1.jpg
Acha Kutudanganya hapa. Wewe mwenyewe unapenda sana na unaburudika ukitazama.

Kama hupendi anayekutuma usearch page yake na kupitia picha zake zote ni nani? Alafu unajifanya kuanzisha uzi na kulialia hapa.

Upumbavu wa 4GB.
 
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
c7c2aaaaee67f8adadf7d4109eeeb6f1.jpg

Yalimshinda mama terry hayo...
 
Unashangaa Gigy Money. Unafikiri wazazi wenye watoto wa kiume ambao siyo ridhiki wanajisikiaje? Haya mambo ni magumu!
 
Back
Top Bottom