Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

Huyu bint ndiye aliyesambaratisha penzi la Kiba na Jokate, hafai kabisa
 
Unako hako kapicha kamoja tu??tupia tuone nijinsi gani anakiuka maadili au ni wewe tu na wivu wako??
Mchek insta utajionea makuu, mchek tu maana ukimfollow utatapika bure
 
Utaumia sana lakini kumbuka.. Kibaya chajitembeza na biashara matangazo kama uelewi hapo badili chanel.
 
Huyu aende tu kulelewa na Faki Dadi.Atanyooka tu.
Thubutuuu! Faki dadi hataki hawa wanao zurura kama kuku wa kienyeji, anakula yule anae miliki nyendo zake tu, akirudi nyumbani na kukuta binti hayupo lazima mama achezee kichapo kwa nini anaacha mtoto anazurura, anajua saa ya kulala na kuamka mchepiko wake mpaka kitanda alalacho anakijua, hataki vya kuokota hawa wataendelea kuwa wa kina Majizo.
 
Hahaha.....swadakta ustadhi!
 
Back
Top Bottom