Acha Kutudanganya hapa. Wewe mwenyewe unapenda sana na unaburudika ukitazama.Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
Utazaa na watakuwa hivyoNdo wazazi muwafundishe watoto wenu vizuri
.... Ni muuza kibuyu cha asali hapa. Mujini.... Yaani ka una. 2K yako tuu. Aseee unajipatia. 0712/13...moja balaaaaa...... Na. Kusogezewa kibuyu cha asali...... Mkuuu..........Gigi money ndio nani?
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
Mbona nakwambia tuzae utaki sasa..[emoji780] [emoji41]Mmmmh tuzae tu tutoe chango tumboni
Msukumaanawadhalilisha kina dada kweli, cjui kabila gani uyu