kwa hiyo hela hata mimi ningefake nimekufa,ila kwa upande wa Ivan amekufa tumuache apumzike kwa amani.
Bro unazifahamu USD 150 mill lakin? Hiz pesa ni worth ya kufanya chochote especialy kwetu huku africa,..ni pesa nyiing sana..usione mtu anaztaja tuu or ku type tuu USD 150mill..Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Ndio ndiook namkubali sana mr Jackson,kam siyo xander ukikumbuka naomba unitajie ila xander cage yupo vin diesel,ice cube,neymar jr wa barcelona ali feki kafa akaibuka mwishoni...nchi za wenzetu hizi case za ku fake deaths ni nyingi sana,jana tu Uk kuna conman mmoja alipigaga kama dolar milioni 53 akafeki death kafa huko kwenye milimani sijui nchi gani kwenye michezo yao ya kuteleza ile kwenye ice,11 years walijua kafa kumbe anakula maisha an hela za utapeli.
Waalisoma art hawaajiriwi unajua million 150$ ni kama tsh300billion td
Ni tirion tatu mi najiuliza bharesa utajiri wa tirion tatu hajafikaWaalisoma art hawaajiriwi unajua million 150$ ni kama tsh300billion td
Acha ubishi wwWaalisoma art hawaajiriwi unajua million 150$ ni kama tsh300billion td
Huyo hawezi kuwa "brother" mabrother huwa hawaandikagi ujinga namna hii.Bro unazifahamu USD 150 mill lakin? Hiz pesa ni worth ya kufanya chochote especialy kwetu huku africa,..ni pesa nyiing sana..usione mtu anaztaja tuu or ku type tuu USD 150mill..
Siyo tr. 3 ni bilion kama mia 4 kwa hela ya tzNi tirion tatu mi najiuliza bharesa utajiri wa tirion tatu hajafika
Umesema kweli mkuu na ndivyo ilivyo hata local wanafanya hivyoKwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Maisha ya Bongo sasa hiv yamekuwa complicate,
Hasa ukichanganya na mambo ya Internent.
Watu tupo serious we unatuektia----DARASSA- Hasara Roho
huyo Ivan awe amefake death au ni mzima we m'bongo inakusaidia kitu gani..?
usd milioni 150 ni bilioni 300..Kitu ambacho nabisha ni kwamba jamaa anadaiwa tsh tillion 3 ambaya ni sawa na USD 150 kwa biashara ipi akina bakhresa na utajiri wake wote hajafikia tirion moja apo kuna maswali mengi ya kujiuliza hizo story ni za uongo laba kama ni billion tatu
chanzo chako huwaga ni Mange??Iam smart enough kusoma magazeti ya Uganda online na kufatilia gossips sites zote za Uganda,sijashikiwa akili na idiot yoyoteMange anawachanganya sana na yule zari alienda kumsalimia kule hospitali alikuwa fake au ivan amekufa mbona watanzania mnavipaji sana vya kutunga mambo huki muangalia ivan akiwa hospitali kama walimpasua kichwa itakuwa aliaribika kweli