Picha za jeneza za Ivan ila.....

Picha za jeneza za Ivan ila.....

Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Bro unazifahamu USD 150 mill lakin? Hiz pesa ni worth ya kufanya chochote especialy kwetu huku africa,..ni pesa nyiing sana..usione mtu anaztaja tuu or ku type tuu USD 150mill..
 
ok namkubali sana mr Jackson,kam siyo xander ukikumbuka naomba unitajie ila xander cage yupo vin diesel,ice cube,neymar jr wa barcelona ali feki kafa akaibuka mwishoni...nchi za wenzetu hizi case za ku fake deaths ni nyingi sana,jana tu Uk kuna conman mmoja alipigaga kama dolar milioni 53 akafeki death kafa huko kwenye milimani sijui nchi gani kwenye michezo yao ya kuteleza ile kwenye ice,11 years walijua kafa kumbe anakula maisha an hela za utapeli.
Ndio ndio
 
Kitu ambacho nabisha ni kwamba jamaa anadaiwa tsh tillion 3 ambaya ni sawa na USD 150 kwa biashara ipi akina bakhresa na utajiri wake wote hajafikia tirion moja apo kuna maswali mengi ya kujiuliza hizo story ni za uongo laba kama ni billion tatu
 
Watu Wana Fake Deaths in so Many ways,Bt Hyu mtu kaDanja ila ni ugumu Wa Nafsi za watu tu B'se wtu maarufu Wengi huwa Cases zao za vifo zinahusishwa na mambo mengi..Kanumba, tupac, ManDelA n.k
Finally ukimya hutawala na nDipo watu huelewa,ila kwa ss lazima Presha iwe kubwa
 
Si dhani kama kweli kafake ila labda presure ya kudaiwa ndio inaweza kumuua hiyo picha mbona maiti kweli jamani na mshono wa kichwani
 
Maisha ya Bongo sasa hiv yamekuwa complicate,
Hasa ukichanganya na mambo ya Internent.
Watu tupo serious we unatuektia----DARASSA- Hasara Roho
huyo Ivan awe amefake death au ni mzima we m'bongo inakusaidia kitu gani..?
 
Bro unazifahamu USD 150 mill lakin? Hiz pesa ni worth ya kufanya chochote especialy kwetu huku africa,..ni pesa nyiing sana..usione mtu anaztaja tuu or ku type tuu USD 150mill..
Huyo hawezi kuwa "brother" mabrother huwa hawaandikagi ujinga namna hii.
na kama atakuwa "brother" ni wa Dar
 
Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Umesema kweli mkuu na ndivyo ilivyo hata local wanafanya hivyo
 
Maisha ya Bongo sasa hiv yamekuwa complicate,
Hasa ukichanganya na mambo ya Internent.
Watu tupo serious we unatuektia----DARASSA- Hasara Roho
huyo Ivan awe amefake death au ni mzima we m'bongo inakusaidia kitu gani..?

We ndiyo tafsiri halisi ya m`bongo. We kusoma uzi unaomzungumzia Ivan na hutaki kujua habari zake imekusaidia nini??
Sizitaki mbichi hizi!!!
 
Kitu ambacho nabisha ni kwamba jamaa anadaiwa tsh tillion 3 ambaya ni sawa na USD 150 kwa biashara ipi akina bakhresa na utajiri wake wote hajafikia tirion moja apo kuna maswali mengi ya kujiuliza hizo story ni za uongo laba kama ni billion tatu
usd milioni 150 ni bilioni 300..
 
Mange anawachanganya sana na yule zari alienda kumsalimia kule hospitali alikuwa fake au ivan amekufa mbona watanzania mnavipaji sana vya kutunga mambo huki muangalia ivan akiwa hospitali kama walimpasua kichwa itakuwa aliaribika kweli
chanzo chako huwaga ni Mange??Iam smart enough kusoma magazeti ya Uganda online na kufatilia gossips sites zote za Uganda,sijashikiwa akili na idiot yoyote
 
Back
Top Bottom