Picha za jeneza za Ivan ila.....

Huko Ulaya kuna life asuarence huwa wanafake vifo ili wanufaika walipwe na bima
 
Maelezoo muruaaa kabisaaa
 
Watoto walikuwa wanatunzwa na daimondi.
Ila aivani amemfunika sana daimondi hasa kwenye mazishi.
Yaniii wewe tusii ambaloo nimekutukana kimoyo moyoo ungeliskiaa ungezimiaa! Kwan kuna mashindano kwenye mazishi au mtu aliye hai anashindanaje na marehemu?? We zwazwaaa
 
Yaniii wewe tusii ambaloo nimekutukana kimoyo moyoo ungeliskiaa ungezimiaa! Kwan kuna mashindano kwenye mazishi au mtu aliye hai anashindanaje na marehemu?? We zwazwaaa
Unaweza usielewe leo, lakini iko siku utaelewa.
 
We ndiyo tafsiri halisi ya m`bongo. We kusoma uzi unaomzungumzia Ivan na hutaki kujua habari zake imekusaidia nini??
Sizitaki mbichi hizi!!!
wiki ya pili sasa wabongo mko busy na msiba wa Uganda aliyefia SA
 
Napata mashaka sana juu ya uaminifu wa huyo mjamaa. Kama alikuwa mwaminifu mbona alikubali kubadilisha jina katika mazingira ya utata na kujiita Ali Ssenyomo.
 
Mkuu dollar million 150 ni pesa ndefu sana hapo tunaongele about 340 billions za kitanzania almost robo ya utajiri wa bakhresa.
Kusema kuwa ni pesa ambayo angelipa tu kwa mali alizonazo siyo rahisi kihivyo na si ajabu hakuipiga peke yake maana there is no way mtu anaweza piga hiyo ela peke yake.
 
Let the deceased rest in peace...
 
nadhani uko sahii hawawezagi kusafirisha mahiti bila kuikagua!!
 
Ndio " Na nini" vip kwani..?
na wewe upo busy na msiba M-ganda aliyefia SA..? na wewe umejitia kimbele mbele kuweka tanga la msiba..?

Sioni kingine juu yako zaidi ya wivu juu ya uwezo wa marehemu. Si marehemu uliyekuwa unamchukia bali ni kwa nini kakalia position ambayo kwa umri wako ungeweza kukalia pia. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…