miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 624
Duuh watu wana hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Ulaya kuna life asuarence huwa wanafake vifo ili wanufaika walipwe na bimaok namkubali sana mr Jackson,kam siyo xander ukikumbuka naomba unitajie ila xander cage yupo vin diesel,ice cube,neymar jr wa barcelona ali feki kafa akaibuka mwishoni...nchi za wenzetu hizi case za ku fake deaths ni nyingi sana,jana tu Uk kuna conman mmoja alipigaga kama dolar milioni 53 akafeki death kafa huko kwenye milimani sijui nchi gani kwenye michezo yao ya kuteleza ile kwenye ice,11 years walijua kafa kumbe anakula maisha an hela za utapeli.
Maelezoo muruaaa kabisaaaKwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Yaniii wewe tusii ambaloo nimekutukana kimoyo moyoo ungeliskiaa ungezimiaa! Kwan kuna mashindano kwenye mazishi au mtu aliye hai anashindanaje na marehemu?? We zwazwaaaWatoto walikuwa wanatunzwa na daimondi.
Ila aivani amemfunika sana daimondi hasa kwenye mazishi.
Unaweza usielewe leo, lakini iko siku utaelewa.Yaniii wewe tusii ambaloo nimekutukana kimoyo moyoo ungeliskiaa ungezimiaa! Kwan kuna mashindano kwenye mazishi au mtu aliye hai anashindanaje na marehemu?? We zwazwaaa
Walikuwa kwenye mashindano unatakaa kusemaa?Unaweza usielewe leo, lakini iko siku utaelewa.
Tuliosoma sanaa hakuna ajira!!!Walikuwa kwenye mashindano unatakaa kusemaa?
wiki ya pili sasa wabongo mko busy na msiba wa Uganda aliyefia SAWe ndiyo tafsiri halisi ya m`bongo. We kusoma uzi unaomzungumzia Ivan na hutaki kujua habari zake imekusaidia nini??
Sizitaki mbichi hizi!!!
We upo busy na nini??wiki ya pili sasa wabongo mko busy na msiba wa Uganda aliyefia SA
Napata mashaka sana juu ya uaminifu wa huyo mjamaa. Kama alikuwa mwaminifu mbona alikubali kubadilisha jina katika mazingira ya utata na kujiita Ali Ssenyomo.Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Mkuu dollar million 150 ni pesa ndefu sana hapo tunaongele about 340 billions za kitanzania almost robo ya utajiri wa bakhresa.Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Ndio " Na nini" vip kwani..?We upo busy na nini??
nadhani uko sahii hawawezagi kusafirisha mahiti bila kuikagua!!Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie
Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Ndio " Na nini" vip kwani..?
na wewe upo busy na msiba M-ganda aliyefia SA..? na wewe umejitia kimbele mbele kuweka tanga la msiba..?