Picha za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta na akiwa kazini.

Picha za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta na akiwa kazini.

Nilifikiri haapi kwa biblia badala yake anaapa kwa katiba, kumbe biblia anashika mkewe? Huyo anakwenda kuigeuza ikulu kuwa mali ya familia kama alivyofanya Kikwete.

Kulingana na Katiba ya Kenya,,,ni,,utumie Biblia kama wewe ni mkristo,,
na Korani kama wewe Muislamu,,,etc,,,

Lakini ameomba eti mkewe amsaidie kuinua juu na yeye (Kenyatta)
kuinguza na kutamka maneno ya kiapo.

Sasa hiyo,,tunaitanga:wink:,,,,,stairo,,,styro2013,,,,kamarembesho
kamarembesho na hakuna sinda,,,,,,,,,,,na change si
ni better than,,,,,,,,,,

Mabadiliko ndio imemuezesha muanadamu akafika pale yuko.

Tungekua wapi bila mabadiliko,,,,,,Savannah land,,,,,tukiruka
ruka,,,,

Jaji mkuu wa Kenya,,aliposhika ushukani miaka miwili naaa,,,
alikataa yale mavazi ya kikoloni,,,yaani wigs kicwhani na
nguo za zamani ambazo zilitisha.

Sasa majaji hawavaii hivzo wigs,,,na mawakili,,,, wanafaa
kuvaa suti tuu,,,,,,lakini ukiwa wakili,,,,nimapenzi yako,,,,,
ukita kutokezea kortini kama comedians na mavazi hayo
ya kiingereza,,,,,,hiyo ni sindaaaaa,,,yako,,,

Haya ni mabadiliko,,,,,tunaendelea kutoka,,,,pole pole
,,,,,,,,,,ukoloni,,,,,,,,,,,,

Hata hii katiba,,,,,,, ilitengenezwa na wa Kenya 2010.
Hallelujaaaaaaaaaa.

Kwahivyo,,,,sijasikia kama iko yeyote hapa Kenya,,,
akawa na shida Uhuru Kenyatta,,,,,,,,

Sisi wana njumbiriiii tuko,,ngangare,,,,,,,,,,tunataka
mambo yaende kiusawa,,,,sis wote,,hata CORD
wako ndani yake,,,,,,hata wakijirusha rusha juu,,eti
hasira,,,hakuna mahali wanaenda,,,,watarudi,,tuu,, chini,,
kwani unafikiri wanaenda wapi,,,pruto,,,,havaaaana,,,,,,
kwani hizo Laptops,,,zitakapo tolewa,,,,,watoto wa CORD hata
wao si watapata.

Tuacheni siasa duni na tuendereeeee na styro 2013.
Si kuregarega styro 2007 with half everything,,,,?
 
Thats the first thing that hit my eye when I saw this pic...hio simu jo!...Mambo ni digital siku hizi.
Inaonekana Kabarnet bado maendeleo hayajafika mazee...lo!

He he he he,,huyu ni Mzee,,,,,,anaelekea 90's na si teenie,,,,,,,,
kama mzee yeyote duniani,,,,wao hupendelea
vya zamani.

Hata sidhani Moi hua anachukua simu na kupiga,,,hiyo
ni kazi ya wasaidizi wake.

Na dhani,,,, si vingumu kuelewa,,,,na haswa,,,hivi vyombo
vya zamani,,,,including cars,,,,utazipata na watu
matajiri sana,,,kama Moi,,,lakini maskini hatapenda
viwe karibu naye,,,,,,,kama kawaida.:wink:

Hebu jaribu,,,,collections,,,,, matajiri duniani,,,,,,
Nyumba zao ni kama,,,,,Museums,,,,
na bado,,,ukitaka kuona digital,,,,utaoneshwa,,
upande huo muingine,,wa hiyo hiyo nyumba.

Lakini hivi via zamani,,,,ukumbusho,,,,tuuuuu
 
And negation of negation is positive hence it doesn't make no sense means it makes lots of sense......

mkuu mbona hujakosoa na hiyo"no" maana ni kama nimekanusha mara mbili!!that's hiphop american english brethren.

Jibu lako lipo hapo juu. Nilijua umekanusha mara mbili, nikafikira yawezekana ni wale watu wanaorefusha mambo. Kwa mfano: Unasoma kidato cha ngapi? Mtu anajibu ninasoma kidato cha kumi mara sita gawanya kwa kumi na mbili [10X6)/12] badala ya kusema kidato cha tano. Kwa hiyo sikuhangaika na content ila structure.
 
Jibu lako lipo hapo juu. Nilijua umekanusha mara mbili, nikafikira yawezekana ni wale watu wanaorefusha mambo. Kwa mfano: Unasoma kidato cha ngapi? Mtu anajibu ninasoma kidato cha kumi mara sita gawanya kwa kumi na mbili [10X6)/12] badala ya kusema kidato cha tano. Kwa hiyo sikuhangaika na content ila structure.
exposure yako imeishia kwenye british english..poor you
 
exposure yako imeishia kwenye british english..poor you

Hey! What's a motive behind this extended discussion. Do not blame me, blame yourself or your teacher for your poor English grammar. I'm not here to argue with you because I thought that you overlooked it. However, by using your efforts to oppose me indicates that you really do not know what you wrote. If you think that 'It don't' is correct, it is up to you. Please, mind your our business and keep on it!
 
Muhimu ni yeye kuapa kwa kusema kuwa ataitetea katiba ya Kenya na Mwenyenzi Mungu amsaidie katika kazi yake. Ikiwa atashika biblia bila ya matendo madhubuti haitakuwa na maana yoyote
 
Hey! What's a motive behind this extended discussion. Do not blame me, blame yourself or your teacher for your poor English grammar. I'm not here to argue with you because I thought that you overlooked it. However, by using your efforts to oppose me indicates that you really do not know what you wrote. If you think that 'It don't' is correct, it is up to you. Please, mind your our business and keep on it!
mkuu tusameheane..asante kwa darasa anyway.
 
Raila,,,Huyoooo,,,,katoroka,,akimshika mwenzake Stivo mpaka South Africa.

Watarudi Kenya,,Wednesday baada ya kuhapishwa kwa rais Uhuru.

What a democrat and reformer,,,Raila,,,,eti hawezi kuvumilia na kuona
ambaye aliye mshida akiapishwa.

Unatoroka wakati ule wengi wa na fly Kenya kushuhudia????

To vice president,,bw Stivo,,,,,niaje bwana,,kwani,,,umeishiwa???

Ha,,,ta sasa bado Raila anakuzungusha,,huku na kule?????

Grow up bw Stevo,,,,open your eyes and see clearly,,that yours
is the end of the road,,,kaput kabisaaaaaaa.


Agwambo atakulipia kuwenda Afrika kusini lakini kisiasa ni mwisho
wa safari.


And,,,where is Jonstone Muthama,,,,i hope hata yeye mngempeleka
,,,for a trip,,,,,swimming to S Africa.

Na musiwe karibu na TV msione kile kitakacho kua kikiendelea Kenya,
hanma bahati.


Poleni saaaaaaana,,,,na msilie.
 
Nderemo ,shamra shamra ,na vifijo za kuapishwa kwa Rais wa awamu vya nne nchini Kenya zitasikika kesho katika Uwanja wa mpira wa Arap Moi.
Kesho Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuapishwa baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Machi 4 mwaka huu.
Uhuru anachukua nchi hiyo akiwa ni rais wa nne ambapo awali alitanguliwa na baba yake mzazi Jomo Kenyatta aliyeongoza kuanzia mwaka 1964 mpaka 1978, kisha akafuata mzee Arap Moi na Mwai Kibaki.
Kuapishwa kwa Rais huyo kulichelewa kutokana na kufunguliwa kwa kesi na mpinzani wake Raila Odinga ambaye alipinga matokeo hayo kwa kubaini kulikuwa na udanganyifu.
Lakini hata hivyo pingamizi hilo halikufua dafu kwani mahakama ilimuidhinisha Kenyatta kuwa ndiye mshindi halali nchini humo.

Baada ya mahakama ya juu kutoa uamuzi huo ,kwa upande wake Raila Odinga alikubali yaishe kwa kusema kwamba alishatoa ahadi ya kukubaliana na uamuzi wa mahakama.
Uhuru alishatamka wiki iliyopita kwamba wakati wa kuapishwa hataapa kwa kuinua Biblia bali atasaidiwa na mkewe kama alivyoapishwa Rais Obama wa Marekani.

Akidhibitisha hilo Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Julius Karangi alisema kuwa Kenyatta aliomba kwamba mkewe Margaret Kenyatta amshikie Biblia atakapokuwa akiapishwa.
“Hili ni ombi la rais mteule na itakuwa vyema tukubali ombi lake katika siku hii ya kihistoria,” alisema Jenerali Karangi.

Kenyatta ataweka tu mkono wake wa kushoto juu ya Biblia ikishikiliwa na mkewe, katika kile anachotaja hatua ya kuachana na mtindo wa awali wa kuapisha marais wa Kenya wakiinua Biblia.
Kesho Rais Mwai Kibaki atamkabidhi katiba Mpya Kenyatta, ambayo ilianza kutumika mnamo Agosti 2010. Mtindo huu utakuwa wa kwanza tangu nchi hiyo kupata Uhuru.
Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Michezo wa Moi Kasarani, ambapo pia Naibu wa Rais William Ruto ataapishwa.

Shughuli hiyo inatarajiwa kumalizika saa 7.45. Kamati ya Mamlaka ya Ofisi ya Rais tayari ina ratiba ya mpangilio wa shughuli hiyo.
Utaratibu uliowekwa ni kwamba wageni watasimama pindi Rais Kibaki anayeondoka madarakani atakaowasili, pia itapigwa saluti na mizinga 21.

Kenyatta atapambwa kwa vifaa vya mamlaka ambavyo ni pamoja na Mkuu wa Nakshi (CGH), pia atapokea mkuki, ngao na katiba.
Zana hizo zinaashiria mamlaka; kwa mfano Katiba inasimamia Kenya na watu wake, mkuki unasimamia Amiri Jeshi Mkuu ilhali CGH ni heshima kubwa zaidi Kenya.
Mkuki huo ni ule ule uliopitishwa kutoka kwa Hayati Mzee Jomo Kenyatta hadi kwa Rais Mstaafu Daniel Moi, kisha kwa Rais Kibaki na sasa atakabishiwa Kenyatta.

Kalonzo aaga kwa sherehe
Wakati kesho Uhuru akijiandaa kuapishwa kuwa Rais mpya wa nchi hiyo, Makamu wa Rais anayeondoka madarakani Kalonzo Musyoka aliandaa sherehe kubwa nyumbani kwake kwa lengo la kuwaaga wafanyakazi wenzake.

Wafanyakazi hao wakiongozwa na wakuu wa idara mbali mbali waliandaliwa chakula maridadi kabisa kikisindikizwa kwa hotuba zenye kuvutia za kumsifia kiongozi huyo.
Kiongozi huyo alisifiwa kutokana na uongozi wake bora katika wizara hiyo na akiwa msaidizi mkuu wa rais.

Kwenye hotuba yake makamu wa Rais huyo aliyeandamana na mkewe Pauline Kalonzo, aliwapongeza wafanyakazi wote wa wizara hiyo kutokana na ushirikiano wao akisema kwamba kujitolea kwao kutoa huduma kuliiletea sifa wizara hiyo.

CHANZO: Uhuru! Uhuru! Kesho
 
Anajuwa kwa nini hataki kuapa kwa kushikilia BIBLIA nasi tunamuunga mkono asishikilie BIBLIA maana anajuwa ukweli wote
asante
 
Sudan President Omar al-Bashir will skip Tuesday’s inauguration of Uhuru Kenyatta as Kenya's fourth Head of State.

This comes as a section of lawyers petitioned Attorney-General Githu Muigai to arrest and hand over President Bashir to The Hague in case he comes to Nairobi

Government spokesman Muthui Kariuki said the Sudan President had indicated that he would not attend the occasion in spite of being among the 54 Heads of State who were invited.

“President Bashir, like all other African presidents, was invited. However, I can confirm that he will not be attending,” he said.

The Kenya Chapter of the International Commission of Jurists (ICJ Kenya) warned that the country would be failing in its duties as a member state of the treaty establishing the International Criminal Court (ICC) if it allowed President Bashir, an indictee of The Hague, safe entry and exit.

In addition to the two warrants issued by the ICC, lawyers Wilfred Nderitu and Elias Mwenda reminded Prof Muigai that the High Court issued a provisional warrant compelling the government to arrest the Sudan President any time he sets foot on Kenya’s soil.

“As a State Party to the Rome Statute establishing the ICC, Kenya is under an obligation to enforce the warrants by arresting and surrendering President Bashir to the ICC if he enters Kenyan territory,” they said in their petition.
 
Laiti kama biblia ingepanua mdomo n kusema!!
 
Back
Top Bottom