Anaiponda ile mbaya! Anawapasha ni nguvu za westerners kuchagulia Africa viongozi! Na hatakaa akubali ICC In Uganda, ameuliza where were they wakati waganda waliuwawa miaka ya nyuma? Anawashukuru wakenya kuwaonyesha ICC hawachaguliwi nani kiongozi
ana hatari kweli mzee M7 kujitafutia ugomvi na wa west tu kwa ajili ya ICC. halafu Kabila upo pale anamsikiliza.....
halafu mzee kasema hivi nyie watu wa west Pokot mwache kumuibia ng'ombe zake....
huyu jamaa nikiunganisha na 'vicheko' vya William Ruto ambaye ndiye anasemekana 'kumpa' urais nakuwa na mashaka na mustakabari wa nchi hii iliyo maarufu kwa utalii