meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Ukiacha hicho ki2 cha Arusha, mtandao wa WikiLeaks ili-likisha kuwa jamaa anapeleka kilaji ile mbaya, na pia ni mvivu wa kufanya kazi.
Hata mimi nlitaka kuuliza hicho kitu.
Ukiacha hicho ki2 cha Arusha, mtandao wa WikiLeaks ili-likisha kuwa jamaa anapeleka kilaji ile mbaya, na pia ni mvivu wa kufanya kazi.
huyu jamaa nikiunganisha na 'vicheko' vya William Ruto ambaye ndiye anasemekana 'kumpa' urais nakuwa na mashaka na mustakabari wa nchi hii iliyo maarufu kwa utalii