Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hili naliandika hapa kila siku, usisahau Waarabu pia.Jinsi tulivyofungwa kiakili na wazungu ndani ya vitabu vya dini....View attachment 2209589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili naliandika hapa kila siku, usisahau Waarabu pia.Jinsi tulivyofungwa kiakili na wazungu ndani ya vitabu vya dini....View attachment 2209589
Target yao nini? Au kutuchelewesha kifikra I thought so! na tusifikiri kwa mapana na marefu...Hili naliandika hapa kila siku, usisahau Waarabu pia.
Hii picha nimeielewa sana
Explain it plsHii picha nimeielewa sana
Huyu ni wa kishua anacheza game (ps) na huyu mama hohehahe anatumia waya wa ps wa dogo kuanikia nguo.
@Golisten pls help translate if you can plsWhite supremacy to the world..!View attachment 2209610
Very sensible ha ha ha uvuvi wa mzungu ni Mali tu.
Daaah mi hapa sijaelewa kabisa
Najiuliza sana kila siku kama Mabeberu waliweza kutufunga minyororo kirahisi hivi!!! ...... kwa nini walitumia nguvu nyiiingi, na Gharama kuubwa kuwekeza Makoloni yao humu Africa??