Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

Hapana mkuu Jjovenel alijitolea sana kuwasaidia wa Haiti hata Wananch wa kawaida wanampenda. Tatizo aliwaamini sana waliomzunguka na ndio hao waliomsulubu. View attachment 1855682huyu hapa Dimitri miaka 35 tano tu ndo aloratibumauaji. Ndo alikuwa katibu mkuu kiongozi. Sasa hivi yuko mahali salama akiminywa
Wanadai kwamba master mind mkuu ni huyu acting president, pia serikali ya Colombia inadai hao mercenaries hawakujua kuwa wanaenda kumuua raisi hata.
 
Kitengo cha haki cha Marekani kimefanya kazi nzuri sana.Kilitusaidia sisi kumuondoa yule nduli wa Chato pia.Mungu bariki sana wazungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]teh teh teh
 
Yeye amshukuru Mungu tu kapona aache propaganda za kumtetea mume wake,Mungu anashughulika na madikteta miaka hii
 
Hivi wapiga risasi kwa nini hawajawahi kulenga sehemu za siri maana utasikia kichwani, shingoni, matakoni, mguuni basi
 
Hapana mkuu Jjovenel alijitolea sana kuwasaidia wa Haiti hata Wananch wa kawaida wanampenda. Tatizo aliwaamini sana waliomzunguka na ndio hao waliomsulubu. View attachment 1855682huyu hapa Dimitri miaka 35 tano tu ndo aloratibumauaji. Ndo alikuwa katibu mkuu kiongozi. Sasa hivi yuko mahali salama akiminywa
Unahangaika kulijibu hilo taahira
 
Hapana mkuu Jjovenel alijitolea sana kuwasaidia wa Haiti hata Wananch wa kawaida wanampenda. Tatizo aliwaamini sana waliomzunguka na ndio hao waliomsulubu. View attachment 1855682huyu hapa Dimitri miaka 35 tano tu ndo aloratibumauaji. Ndo alikuwa katibu mkuu kiongozi. Sasa hivi yuko mahali salama akiminywa
Lazima uwaamini wanaokuzunguka, kukugeuka ni jambo lingine
 
Kwa matukio haya nimepata wazo kuwa marais wa nchi ni moja ya makundi ya watu wanafeel insecurity hata kama tunawaona wana ulinzi wa kutisha kumbe they are vulnerable na hatari aise. Mataifa ya Magharibi ni hatari sana.
 
Hapana mkuu Jjovenel alijitolea sana kuwasaidia wa Haiti hata Wananch wa kawaida wanampenda. Tatizo aliwaamini sana waliomzunguka na ndio hao waliomsulubu. View attachment 1855682huyu hapa Dimitri miaka 35 tano tu ndo aloratibumauaji. Ndo alikuwa katibu mkuu kiongozi. Sasa hivi yuko mahali salama akiminywa
Hakujitolea lolote, miezi saba iliyopita walishaanza kuandamana kabla hata ya muda wake haujaisha. Muda wake ukaisha mapema mwaka huu yeye akadai eti baada ya Mungu haoni mtu sahihi wa kuongoza nchi, akataka aongeze mwaka mmoja tena.
Hakuna la maana amefanya, usalama nchini humo ni sifuri watu wanatekwa mchana kweupe ili walipe fidia kwa watekaji. Rais mwenyewe wateuliwa wake wana vikundi vya utekaji, yani kina Sabaya walikuwa wengi sana Haiti. Kila mwenye hela anaweza unda jeshi lake la mgambo, usalama kutoka serikali hamna
 
Back
Top Bottom