Hawa wanajeshi wa Zimbabwe wanachezea mpira golini kwa Mugabe,Mzee anataka apige count attack! Akiupata tu huo mpira lazima huyo Mkuu wa majeshi apigwe chiniNi vema tu akakubali kuachia kwa amani. Na Mkuu wa Jeshi ampe heshima kama Rais Mstaafu wa nchi hiyo. Ingependeza zaidi
Nini ambacho hujaelewa?Unajua maana ya andishi lako?
Picha tumeona kwa Makamu wake wa Rais.. Kwa hivyo wajiandae kisaikolojiaHawa wanajeshi wa Zimbabwe wanachezea mpira golini kwa Mugabe,Mzee anataka apige count attack! Akiupata tu huo mpira lazima huyo Mkuu wa majeshi apigwe chini
Amani ni tunda la haki na demokrasia.Mkuu pamoja kunasihi kuepusha rabsha au mauaji, mzee aachie kwa amani na apewe heshima zote za Rais Mstaafu bado unaona si jambo jema?
Atahukumiwa kifo,au kufukuzwa kazi kisha anateuliwa mwingine Mzee anadunda forever, Wazimb nao maboya sana utafikiri wamerogezewa,nimeamini ukitaka kutawala watu wafanye kuishi kama mashetani.Huyu Mkuu wa Majeshi akimkosa huyu Mzee akarud Madarakani kwa namna yoyote, ajiandae kunyolewa na Chupa!!!
Kwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.
Alipewa au alijipa?Kuachia kwa amani ni hadi muda wake aliopewa na wananchi wa Zimbabwe uishe
Wapi umeona Wazimb wamefanya maandamano kupinga asiondolowe zaidi ya kuwa upande wa jeshi, soma Picha hio,ashachokwa hana tija,kauwa uchumi wanataka mabadiliko,wapate mawazo mapya sio Yale ya miaka ya 60 Sera zake za uchumi zimeshindwa.Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.
Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?
Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?
Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.
Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
Aliwahi kushindwa na Morgan akakataa kutoka madarakani ndio kuvunja katibaAmani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.
Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?
Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?
Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.
Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Kuna kuchokwaUng'ang'anizi wangu ndio unakufanya Wewe uongee uongo?
Hakuna damu itakayomwagika huyo cdf na Mugabe ni marafiki tangu walivyokuwa na miaka 20 ,walikuwa msituni pamojaMkuu pamoja kunasihi kuepusha rabsha au mauaji, mzee aachie kwa amani na apewe heshima zote za Rais Mstaafu bado unaona si jambo jema?