Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
umeiva murah
 
408321b86fdbe42fd45ed38290efa89a.jpg
42211b3e8e7ddb77efc50201283f450b.jpg
ac8615b9afe4aaec243f3c4ad028f0b5.jpg
cfb06913ee32d8d776352b9feb43faa9.jpg
Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini katika Ikulu ya Harare zimetolewa.

Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.

Rais Robert Mugabe anashiriki mazungumzo Ikulu mjini Harare kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa kisiasa nchini humo.
Safi sana wanajeshi,na maveteran wa vita ya ukombozi,hako kazee,inabidi kajiuzuru tu,ila na nyie mmechelewa sana,mpaka mchepuko ulipotaka kupewa umakamu wa Raisi ndio mkashituka,
All in all bravo
 
Hata hivo wamekifanyia Heshima sana kibabu hicho Kinachonga nchi kwa mke.
Yes. Huyo CDF pamoja na most senior army officers walikuwa na Mugabe porini enzi zile wanadai uhuru. Ni washkaji kwa kifupi na hawataki mwisho wa mzww uwe mbaya na wa aibu. Tatizo limekuja hapa mwisho mzee anataka kumuachia Nchi bebii. Kama mzee ataendelea kuresist hizi favour, itawabidi wachukue maamuzi magumu tu.
 
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.

Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?

Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?

Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.

Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
UVfisiem hao washafika
 
Si kwamba jeshi ndo linalo mbembeleza mugabe aondoke?
Wana uwezo wakumwambia mzee wewe sasa basi na asifanye chochote, kwa kile alichofanya kumfukuza Emmerson Mnangagwa na kupokea ushawishi kwa Bi Crace
 
Wana uwezo wakumwambia mzee wewe sasa basi na asifanye chochote, kwa kile alichofanya kumfukuza Emmerson Mnangagwa na kupokea ushawishi kwa Bi Crace
Majadiliano yanayo endelea ni ya nini sasa kama wana uwezo huo?......jeshi lina mbembeleza mugabe kwa sasa!.
 
Heshima kubwa kwa waafrika.Haijawahi k utokea Mpinduaji na mpinduliwa wakakaa Meza mmoja kwa Amani kabisa wakajadili Namna ya kukabidhiana madaraka.Ni mfano mzuri sana na wa kiutu.Afrika tumechoka kumwaga damu.
 
Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
Ni Harare mkuu siyo halale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .......kimbilio la vilaza
 
Back
Top Bottom