Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Picha za kwanza zatolewa za mkutano wa Mkuu wa Majeshi na Rais Robert Mugabe

Amepinduliwa kisayansi na kiteknolojia...atatoka sema lazima kuna terms wanaonge
1.Nasikia kakubali kisepa
2.sema katiba inasema lazima amuachie mtu madaraka na katiba yasema ni Makamu ambaye ni mke wake ashamchagua tangu juzi
Hapo ndo ugumu ulipo.
HUYU MKE WA MUGABE HAFAI HATA KUWA BALOZI WA NYUMBA KUMI
 
Mkuu Kuna vitu umeandika viko sawa ila naomba nikusahishe hapa:
Mkuu wa majeshi CDF wa Zimbabwe sio boys kama unavyosema maana hapo hakuna mapinduzi ila wao wana tuliza rabsha rabsha tu na kama Uko makinikia utaona anazungumza kiraia na kwa utiifu kwa CIC -Jongwe Mugabe , na ndo maana hata kofia yake kaiweka hapo juu ya bega (maana hazungumzi kijeshi Bali kiraia, ila ingekuwa anazungumza kijeshi na kimapinduzi ungeona makamanda wake wako pembeni na angekuwa kavaa kofia na wapambe wenye vyuma vya moto ungewaona wakiwa wamemzunguka .

Kumbuka kipindi cha kina "Field Marshall Fatal Al Sis" kule Misri walivyokuwa wakitangaza kutwaa madaraka ya nchi walikuwa wao kama wanajeshi na wakiongea kijeshi.kweli kweli (wakiwa wamevaa kofia za kijeshi).

Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu

Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo

Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile

Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
 
Mkuu Kuna vitu umeandika viko sawa ila naomba nikusahishe hapa:
Mkuu wa majeshi CDF wa Zimbabwe sio boys kama unavyosema maana hapo hakuna mapinduzi ila wao wana tuliza rabsha rabsha tu na kama Uko makinikia utaona anazungumza kiraia na kwa utiifu kwa CIC -Jongwe Mugabe , na ndo maana hata kofia yake kaiweka hapo juu ya bega (maana hazungumzi kijeshi Bali kiraia, ila ingekuwa anazungumza kijeshi na kimapinduzi ungeona makamanda wake wako pembeni na angekuwa kavaa kofia na wapambe wenye vyuma vya moto ungewaona wakiwa wamemzunguka .

Kumbuka kipindi cha kina "Field Marshall Fatal Al Sis" kule Misri walivyokuwa wakitangaza kutwaa madaraka ya nchi walikuwa wao kama wanajeshi na wakiongea kijeshi.kweli kweli (wakiwa wamevaa kofia za kijeshi).
Askari anapoingia mess kupata chakula kuna sehemu zipo wanatundika kofia Kwa rank

Askari anapokuwa kwenye mazungumzo ya kiofsi kofia pia hatakiwi kuivaa kama ni ofsi ya jeshi kunakuwa na sehemu maalumu ya kutundika kofia pia Kwa rank mfano juniour officer hawezi tundika kofia na seneor officer sehemu moja

Mkuu wa majeshi wa Zimbabwe alikuwa kwenye mazungumzo ya kiraia nakubali lakni kofia inatakiwa ishuke hiyo ni automatically hata yangekuwa mazungumzo ya kijeshi inashuka

Anyway jeshi liheshimiwe mkuu

Nazi party is the choice.
 
Huyo msoja dahhh siwaelewi wazimbabwe..
Juz imetangazwa aliyekuwa makamu kawa rais..Leo Mugabe anakataa kuachia ngaz...
Najeshi lilimtangaza aliyekuwa makamu,Leo kinyumekinyume tena....
Siwaelewi wazimbabwe...hata KAma watz waoga,wao wamezd
 
Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.

Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?

Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?

Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.

Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
Tukiwaheshimu na kufuata hizi taratibu mnatuona maboya na kuanza kutoa rushwa, sasa sawa hao ni jeshi kufanya mapinduzi na hapo ndo dawa ya madicteta katika nchi zetu.
 
mashaambiwa hili lilikuwa dili dhidi ya mke msumbufu grace ambaye alimsumbua tangu mwaka 2008 babu anataka apumzike yeye anasema hakuna kitu kama hicho.
 
Eti wanaita Romantic coup.
DO3CNkMX0AASkC-.jpg:small
.

Hawa wajeshi hawako serious,washukuru mugabe kazeeka hana nguvu wala akili,
angekuwa sharp kama buyoya,
wangethubutu kulemba vile,wangelokotela mpira kunyavu
 
wanajua wanachokifanya. wana uzalendo wa kweli. siyo kama sisi unakuta jitu na elimu yake linashirikiana na accacia kuiba makinikia yetu.
 
Ana haki ya kufanya kikao chochote atakacho na kamati ya ulinzi na usalama kuhusiana na hali ya nchi as long as the Zimbabwean constitution claims as he still the President. Watakubaliana bila nchi kuingia kwenye machafuko
 
Asante kwa kuongeza nyama katika kutujuza mambo Flani Flani ya "military seniority & protocols".

Schwa sitka forever.
Karibu cologne, Hamburg, Borusgna,Berlin, Dortmund, etc just to.mention a few ili walau uoanane na kina mkuu Gehrn Shroider, Angel Markel,Franklin Valtershtemer,etc

Askari anapoingia mess kupata chakula kuna sehemu zipo wanatundika kofia Kwa rank

Askari anapokuwa kwenye mazungumzo ya kiofsi kofia pia hatakiwi kuivaa kama ni ofsi ya jeshi kunakuwa na sehemu maalumu ya kutundika kofia pia Kwa rank mfano juniour officer hawezi tundika kofia na seneor officer sehemu moja

Mkuu wa majeshi wa Zimbabwe alikuwa kwenye mazungumzo ya kiraia nakubali lakni kofia inatakiwa ishuke hiyo ni automatically hata yangekuwa mazungumzo ya kijeshi inashuka

Anyway jeshi liheshimiwe mkuu

Nazi party is the choice.
 
Wamekunywa na chai kama wale walivyo kunywa chai ikulu?

Basi mchezo umekwisha.
 
Hata hivo wamekifanyia Heshima sana kibabu hicho Kinachonga nchi kwa mke,Ilitakiwa kiwe jela kione majungu ya kuwaweka wapinzani wake jela,naona wananchi wako upande wa jeshi, kameharibu sana uchumi.

kenstar,

Mugabe amekaa sana Jela hasa kipindi cha vuguvugu la kutafuta Uhuru tangia akiwa na 20s years old kwa hiyo ukiandika kuwa aonje utamu wa jela utakuwa huelewi ni kiasi gani ameishawekwa mahabusu kwa amri za wazungu koko na kile Kibibi Kizee cha Uingereza.

President, Mugabe, is a true son and a Hero of Africa.
 
Katoliki wanahusika VP , mbona sioni masheikh

shemahenga, kandere ,
Wakodishe na uwapeleka huko Zimbabwe hao Masheikh kama unaona ni deal sana.
By the way, wote hao ni wapigaji wa Mali zetu kuanzia kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru.

Tambua kuwa hizi dini zililetwa na wakoloni uislam warabu pori na ukristo wazungu koko.
Sasa, sababu ya uislam kuwa zero Zimbabwe ni kwamba, nchi ile ilikuwa koloni la Mzungu koko (Britain), kisha koloni la Makaburu wa kutoka South Africa ambao pia ni waingereza.

Hivyo kwa pamoja (UK na Makaburu wa South Africa) walipinga kuingia kwa warabu pori huko zimbobooo na kupeleka hizo porojo za Mecca kuhusu uislam.

Maana wote walikuwa ni wachumia tumbo na wanyonyaji wa Mali za waafrika weusi huko Zimbabwe kama ilivyofanyika nchi zingine nyingi za bara letu la Africa.

Any way, usidhania kuwa kila nchi ni koloni la Saudi Arabia!!
 
Back
Top Bottom