shemahenga
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 131
- 51
Katoliki wanahusika VP , mbona sioni masheikh
Hahaaa sawa mkuuNi Harare mkuu siyo halale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .......kimbilio la vilaza
Hata kama shughuli zingne zinaendelea ila raisi yuko chini ya ulinzi maana yake nn ?Wapi kasema ameteka nchi?
Hata kama shughuli zingne zinaendelea ila raisi yuko chini ya ulinzi maana yake nn ?
OK .labda ulitaka raia wote Zimbabwe wafungwe pingu ndyo ujue nchi imetekwa
Jitafakari!
Infantly marshal Technical ApproachWewe ndio Boya
Tangu awali alisisitiza hawajampindua Mugabe Bali wanadhibiti genge la wahuni linalomzunguka then ataombwa apumzike
Majibu dhaifu sana .!ukweli mchungu pale tabaka la chini anaposikia kifo cha MTU kama raisi ni chake na taifa zima ila kifo chake ni chake na familia yake.Umeshasema shughuli zote zinaendelea, uyo Rais ata akiuliwa hawezi kuathiri maisha wa wananchi.
Majibu dhaifu sana .!ukweli mchungu pale tabaka la chini anaposikia kifo cha MTU kama raisi ni chake na taifa zima ila kifo chake ni chake na familia yake.
Kaa ukijua kifo cha Mugabe kitaleta mpasuko wa kisiasa Mugabe siyo kama bibi yako aliyefariki huko kijijin na hata humu JF shughuli hazikusimama na bendera haikupepea nusu mlingoti
Jitafakari!
Hilo sijakataaNani kakudanganya kuwa kifo cha Mugabe kitaleta mpasuko? Unajua Mugabe anavyotesa wananchi wake? Sasa hivi ana miaka 93, ufanisi na uwezo wake wa kufanya kazi umeisha ni mda wake wa kupumzika.
Wanazimbabwe wanaitaji kiongozi mpya atakae waletea maendeleo na sio kuwanyonya kama Mugabe.
Mashehe katika taifa ilo ni Wapita njia .....Najiuliza tu hapo, why askofu alikuwepo, mbona mashehe hawapo?
Hivi unajua maana ya dictator au unaongea pumba tu.Uyo jamaa anatakiwa ang'oke ili iwe mfano kwa madikteta wajinga km uyu wetu hapa.
Najiuliza tu hapo, why askofu alikuwepo, mbona mashehe hawapo?
Ni wapi hapa duniani uliona masheikh wanashiriki kwenye usuluhishi?Katoliki wanahusika VP , mbona sioni masheikh
Ingia kwanza Jeshi, arafu ndio utatambua unachokiwaza ni nn.Ccm wasipotoka madarakan nitaenda jeshin niwe mkuu wa jeshi ili niitoe mwenyewe
Amepinduliwa kisayansi na kiteknolojia...atatoka sema lazima kuna terms wanaongeKwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.
HAO WANAJESHI WA ZIMABWE WAMETUMIA AKILI YA HALI YA JUU HAINA HAJA YA KUUA AMA KUUMIZA AMA HATA KUHARIBU MALI KWA SABABU YA HIKI KIZEE CHA MIAKA 93 NI KUKIMINYA KENGELE TU KITULIZANEKwamaana hiyo Mugabe hajapinduliwa.