Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Huyu huenda haelewi maana ya hizo colour. Ila huyo dada wa chadema anajua vizuri anachofanya
Umeelewa nilichoandika? Mimi nakosoa wanaomlaumu Lissu.Umeishiwa hoja, hiyo bidhaa mbona imejaa sokoni au kwenye vijiwe vya marasi? Watz wanapenda upumbavu sana.
Hii story umeileta ki ufundi sana wachache tumekuelewaUmeelewa nilichoandika? Mimi nakosoa wanaomlaumu Lissu.
Pia nionyeshe hiko kijiwe Cha marasi ambacho Wana hizo lgbt colour
Naona kijana wa UPINDE unautetea UPINDE upo hovyo sana.Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(lgbt).
Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.
Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.
Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.
Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.
Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.
View attachment 2496181
Ujinga ni mzigo kuliko mzigo wenyeweSiku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(lgbt).
Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.
Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.
Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.
Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.
Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.
View attachment 2496181
Nchi imekosa maonoSiku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(lgbt).
Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.
Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.
Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.
Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.
Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.
View attachment 2496181
Mhhh...ati?¿View attachment 2496369View attachment 2496370View attachment 2496373
Ebu tuambie wewe kwa uelewa wako hapo!
Acha kushindwa kuiona boriti shauri ya upofu wa mahaba kwa mtu.
Anayetetea si huyo hapo yupo na rangi rangi zakeNaona kijana wa UPINDE unautetea UPINDE upo hovyo sana.
Chama cha LGBT hikiMwenyekiti huwa anageuka mwenyemshipa! Ha..ha...haaa!
Chadema bhana!
UVCCM msomeni waziri wenu wa fedha hapaUkiona mtu yeyote anashabikia CHADEMA wewe elewa ndo wale wale upinde.