PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Mkuu,utanashati ni usafi na kujipenda!define utanashati.
Ha ha ha, loooh! Kweli kaka tumewaona warembo wako haya asante.1.Ali kibaView attachment 3785322.Juma JuxView attachment 3785333.cyril kamikazeView attachment 3785354.Hemed PhdView attachment 3785365.GerryView attachment 3785376.Izzo biznessView attachment 3785387.ommy dimpozView attachment 378540 UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati humtambulisha muhusika namna anavyojiweka kuanzia nyumbani hadi katika mwili wake.Hapa Tanzania kuna wasanii kibao ambao wamekuwa wakijitahidi kujiweka fresh kwa uvaaji wao na hilo limewafanya kujiongezea umaarufu zaidi katika kazi zao!
1.Ali kiba
View attachment 378532
2.Juma Jux
View attachment 378533
3.cyril kamikaze
View attachment 378535
4.Hemed Phd
View attachment 378536
5.Gerry
View attachment 378537
6.Izzo bizness
View attachment 378538
7.ommy dimpoz
View attachment 378540
UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati humtambulisha muhusika namna anavyojiweka kuanzia nyumbani hadi katika mwili wake.
Hapa Tanzania kuna wasanii kibao ambao wamekuwa wakijitahidi kujiweka fresh kwa uvaaji wao na hilo limewafanya kujiongezea umaarufu zaidi katika kazi zao!
Ni wewe mama hekaheka? Hemed #1 hapoYaan domo hayupo?muongeze hua anapendeza sana
Ni mimiNi wewe mama hekaheka? Hemed #1 hapo
Msipomuweka 20 percent List haina maana!!
Bango
Huu ujinga sasa mbona Afande Sele sijamuona?
Mtu na kakaake, wamependezaView attachment 378579wakuu kwahari hiyo hapo mnataka na waho tuwaweke kwenye list ya watanashati