Picha za mastaa wa kiume watanashati bongo!

Picha za mastaa wa kiume watanashati bongo!

Na wale wasafi wao si watanashati mbona hawamo?
Mkuu tatizo lao wanamapozi tata!
1470839564584.jpg
1470839573745.jpg
 
1.Ali kiba
View attachment 378532

2.Juma Jux
View attachment 378533

3.cyril kamikaze
View attachment 378535

4.Hemed Phd
View attachment 378536

5.Gerry
View attachment 378537

6.Izzo bizness
View attachment 378538

7.ommy dimpoz
View attachment 378540

UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati humtambulisha muhusika namna anavyojiweka kuanzia nyumbani hadi katika mwili wake.

Hapa Tanzania kuna wasanii kibao ambao wamekuwa wakijitahidi kujiweka fresh kwa uvaaji wao na hilo limewafanya kujiongezea umaarufu zaidi katika kazi zao!
Umemsahau Afande Sele na Kalapina[emoji86]
 
Wanaume wa Dar huwa wananishangaza san.Eti wanawajadili wanaume wenzao walivo watanashati.Bora nilijihamia Dar mapema,mana aibu hii nimeiepuka
 
Back
Top Bottom