juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Najisikia homa.mwanaume mzima unapiga picha na camera 360,khaaa kichwa kinaniuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa papa na nguru hiyo.Dah! Afande Sele kanichekesha, kavaa bibi na bwana
namba 4 na 5 Wanafi.r...ana...iko wazi mtaani kwao1.Ali kiba
View attachment 378532
2.Juma Jux
View attachment 378533
3.cyril kamikaze
View attachment 378535
4.Hemed Phd
View attachment 378536
5.Gerry
View attachment 378537
6.Izzo bizness
View attachment 378538
7.ommy dimpoz
View attachment 378540
UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati humtambulisha muhusika namna anavyojiweka kuanzia nyumbani hadi katika mwili wake.
Hapa Tanzania kuna wasanii kibao ambao wamekuwa wakijitahidi kujiweka fresh kwa uvaaji wao na hilo limewafanya kujiongezea umaarufu zaidi katika kazi zao!
Mkuu we Paparazi wa Kiu na Sani nin?maana co kwa mipicha hii.View attachment 378579wakuu kwahari hiyo hapo mnataka na waho tuwaweke kwenye list ya watanashati
View attachment 378579wakuu kwahari hiyo hapo mnataka na waho tuwaweke kwenye list ya watanashati
Wewe ni He a She?Yaan domo hayupo?muongeze hua anapendeza sana