Yaan domo hayupo?muongeze hua anapendeza sana
Namuona mfalme selemaniView attachment 378579wakuu kwahari hiyo hapo mnataka na waho tuwaweke kwenye list ya watanashati
Baba tunda kafanya mbaka 20% kapotea kwenye game!Namuona mfalme selemani
Kwa yule wanachapa ilale tu!gigy money kiboko yao
Dah! Afande Sele kanichekesha, kavaa bibi na bwanaView attachment 378579wakuu kwahari hiyo hapo mnataka na waho tuwaweke kwenye list ya watanashati
Mkuu tatizo lao wanamapozi tata!Na wale wasafi wao si watanashati mbona hawamo?
Watu mnamakusudi penye kasoro ndo mnapakazania.Nimecheka sana aiseeView attachment 378579wakuu kwahari hiyo hapo mnataka na waho tuwaweke kwenye list ya watanashati
zinasomwa na wanume wa DodomaThread za Wanaume wa Dar.
Umemsahau Afande Sele na Kalapina[emoji86]1.Ali kiba
View attachment 378532
2.Juma Jux
View attachment 378533
3.cyril kamikaze
View attachment 378535
4.Hemed Phd
View attachment 378536
5.Gerry
View attachment 378537
6.Izzo bizness
View attachment 378538
7.ommy dimpoz
View attachment 378540
UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati humtambulisha muhusika namna anavyojiweka kuanzia nyumbani hadi katika mwili wake.
Hapa Tanzania kuna wasanii kibao ambao wamekuwa wakijitahidi kujiweka fresh kwa uvaaji wao na hilo limewafanya kujiongezea umaarufu zaidi katika kazi zao!