Picha za mazingira yetu mazuri

Kila aina ya mchezo unaweza kucheza wewe na mwenza wako mkiwa peke yenu hapa chini ya miti ya Mahale, Kigoma. Upepo mwanana utawapepea kutokea nchini Kongo DRC kupitia Ziwa Tanganyika mwezi huu wa December.
 
Kila aina ya mchezo unaweza kucheza wewe na mwenza wako mkiwa peke yenu hapa chini ya miti ya Mahale, Kigoma. Upepo mwanana utawapepea kutokea nchini Kongo DRC kupitia Ziwa Tanganyika mwezi huu wa December.View attachment 2845548
Ila sijui kwanini, unaweza kukutana na mtu kama huyu unamwambia jaza fomu hiyo
  1. Jina kamili - Arima Yoana / Baati Muando
  2. Wilaya - Andeni
  3. Kazi yako - Muhuguzi
  4. Ulipozaliwa - Hirara Dalesaraham
 
Ila sijui kwanini, unaweza kukutana na mtu kama huyu unamwambia jaza fomu hiyo
  1. Jina kamili - Arima Yoana / Baati Muando
  2. Wilaya - Andeni
  3. Kazi yako - Muhuguzi
Fahana hanatembea uku hakidundadunda. Mahaana Fahana ni sharobaro mtahani kwaho.

Fahana karara na Hana, katembeha na Baati, Chahusiku kampa mimba,Fahana ni kivuruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…