Picha za mradi wa LNG msumbiji.

Yetu wahuni wa CCM na serikali yake walipiga na mpaka sasa hatujui hata mmiliki ni nani, watu wanao pigia kura CCM either ni wajinga na wapumbavu kupindukia kama yule chawa Mwanshambwa au Wana maslahi, haiwezekani nchi tajiri iwe na uchumi kama wa Burundi ambao hawana raslimali yeyote zaidi ya ukabila wawekewe kundi Moja na Tanzania
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi!
 
Unaropoka kama fala mmja.Unajua anaemiliki hiyo ya Mozambique ni nani?

Unajua Kwa nini LNG ya Lindi imekwama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…