Picha za mradi wa LNG msumbiji.

Picha za mradi wa LNG msumbiji.

Ngoja tuwekeze kwa wasanii
Tutatue changamoto zao
Maana ndiyo issue kubwa kwenye taifa

Ova
Samia hawezi kuhangaika na nyie tena,amewaletea mradi mnaleta masharti ya kisengerema.

Wanasanii Wana Ushawishi wa kura
 
Rais anataka ila timu ya majadiliano imeweka ngumu Baadhi ya Vipengele na kama unavyojua Rais hawezi lazimisha ,nyie Wabara hamuaminiki Kwa unafiki mje kusema ameuza Mali zenu za Tanganyika. 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1792499817639297241?t=ZAxJ2eN_myN3ycw5aB8wFA&s=19
Ameamua kuacha hana hasara maana alishafanya juhudi za kuwarudisha wawekezaji ambao walikimbia ila hamtakintena

Majadiliano yalikua yanakimbizwa sana kama yale ya DP, tulikua tunaenda kupigwa.

Mbaya zaidi timu ya majadiliano ilikua ikiongozwa na Februari, pale tulikua tunaibiwa mchana kweupe.
 
Majadiliano yalikua yanakimbizwa sana kama yale ya DP, tulikua tunaenda kupigwa.

Mbaya zaidi timu ya majadiliano ilikua ikiongozwa na Februari, pale tulikua tunaibiwa mchana kweupe.
Toka 2021 yanakimbizwa au? Mnataka mjadiliane Hadi lini? Ndio wansepa Sasa chimbeni wenyewe 😆😆
 
Toka 2021 yanakimbizwa au? Mnataka mjadiliane Hadi lini? Ndio wansepa Sasa chimbeni wenyewe 😆😆
No credibility hao wajinga unaowatetea humu kila siku, same people ambao wameshindwa kuruhusu starlink to operate kwa visababu vya kijinga kabisa, tuna watu bogus sana hii serikali na Nape ni mmojawapo
 
Yetu wahuni wa CCM na serikali yake walipiga na mpaka sasa hatujui hata mmiliki ni nani, watu wanao pigia kura CCM either ni wajinga na wapumbavu kupindukia kama yule chawa Mwanshambwa au Wana maslahi, haiwezekani nchi tajiri iwe na uchumi kama wa Burundi ambao hawana raslimali yeyote zaidi ya ukabila wawekewe kundi Moja na Tanzania

Kila mtu anataka yeye kwanza. Tusipokuwa makini huu mradi utakuwa hadithi za watu wajinga kama utashindwa kuanza
 
Back
Top Bottom