ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Samia hawezi kuhangaika na nyie tena,amewaletea mradi mnaleta masharti ya kisengerema.Ngoja tuwekeze kwa wasanii
Tutatue changamoto zao
Maana ndiyo issue kubwa kwenye taifa
Ova
Majadiliano yalikua yanakimbizwa sana kama yale ya DP, tulikua tunaenda kupigwa.Rais anataka ila timu ya majadiliano imeweka ngumu Baadhi ya Vipengele na kama unavyojua Rais hawezi lazimisha ,nyie Wabara hamuaminiki Kwa unafiki mje kusema ameuza Mali zenu za Tanganyika. ππ
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1792499817639297241?t=ZAxJ2eN_myN3ycw5aB8wFA&s=19Ameamua kuacha hana hasara maana alishafanya juhudi za kuwarudisha wawekezaji ambao walikimbia ila hamtakintena
Things like eeeerrr! Kansolele of somewhere callediiiii Lwanzaliππππππ€£π€£Kirefu cha LNG ni nini mkuu na inahusiana na nini?Short notes on that muheshimiwa.
Toka 2021 yanakimbizwa au? Mnataka mjadiliane Hadi lini? Ndio wansepa Sasa chimbeni wenyewe ππMajadiliano yalikua yanakimbizwa sana kama yale ya DP, tulikua tunaenda kupigwa.
Mbaya zaidi timu ya majadiliano ilikua ikiongozwa na Februari, pale tulikua tunaibiwa mchana kweupe.
No credibility hao wajinga unaowatetea humu kila siku, same people ambao wameshindwa kuruhusu starlink to operate kwa visababu vya kijinga kabisa, tuna watu bogus sana hii serikali na Nape ni mmojawapoToka 2021 yanakimbizwa au? Mnataka mjadiliane Hadi lini? Ndio wansepa Sasa chimbeni wenyewe ππ
Karibu na kwa Boga au Kandiloni.Things like eeeerrr! Kansolele of somewhere callediiiii Lwanzaliππππππ€£π€£
yaan unajua kingereza na bado hujui LNG ! kazi kwei kweliKirefu cha LNG ni nini mkuu na inahusiana na nini?Short notes on that muheshimiwa.
Kiingereza nimerithi tu kwa bibi mzaa mjomba.yaan unajua kingereza na bado hujui LNG ! kazi kwei kweli
Yetu wahuni wa CCM na serikali yake walipiga na mpaka sasa hatujui hata mmiliki ni nani, watu wanao pigia kura CCM either ni wajinga na wapumbavu kupindukia kama yule chawa Mwanshambwa au Wana maslahi, haiwezekani nchi tajiri iwe na uchumi kama wa Burundi ambao hawana raslimali yeyote zaidi ya ukabila wawekewe kundi Moja na Tanzania