PICHA ZA NJE NDANI BASI(MABASI 3)MAPYA YA SIMBA WALIYOPEWA LEO.KUDOS CEO

Yale magalasa ya lile bonde la mbu hutayaona humu
 
Simba ikija kujenga uwanja wake.

Na ikawa ni constant performer mashindano ya Afrika itazoa mashabiki all over.

Pia ijaribu kukuza brand nje ya Afrika, mfano wawe na utamaduni wa kusajili hata under 20 wawili kutoka maeneo kama vile Indonesia (Ambako pesa yetu ina thamani kuwazidi) na kurisk kuchukua wengine maeneo ya Asia.

Pia friendly match zifanywe hata na timu za ligi daraja la pili za nchi kama Spain au Uk.

Nimeisema Simba kwakua ndiyo timu ninayoona inaweza kufocus nje ya ligi ya ndani.
 
Golden dragon mchina huyo
Kutakua na mbasi ma 4 yatakayokuwa bize ni mawili tu la simba queens na la senior team (walio na matatu likiwepo Tata na lile la sports pesa)
Hivyo wakiweza kuya maintain wataweza ku rotate tu kwa safari za mikoani ni uamuzi watumie lipi waache lipi
 
Usemalo tayari boss dewj alishasema next season pre season ni kule kwa biden kule kwa kina DC utd [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usemalo tayari boss dewj alishasema next season pre season ni kule kwa biden kule kwa kina DC utd [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Doh ebwana kama hivi Simba mmejipanga sana.
 
Simba Inametameta Hizo Ndinga Hatari Mno
Buses Tatu.......Huo Siyo Muujiza Bali Mambo Ya Cash
 
na anamuweza kweli hadi jamaa anaomba watu wa kumjibia kwa english maan kule Port harcourt nilikuwa nasikia war there war there on the pitch
War is a war today the you know yes and we there fore its us [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Noma sana ndio maana Morrison kaamua kuinunua kesi.ya kumjibu.manara huko insta
Kule Utopolo Diamond Aliimba Jahazi Imezama
Wanapita Kwa Kikwete Wanatimuliwa

Yanga ....Bariidii Tazameni Wenzenu Simba Wamechangamka. Haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…