Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Too much of every thing is Harmful mkuu!!Sio wazidishe..? Ila kesho wamuue uto nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too much of every thing is Harmful mkuu!!Sio wazidishe..? Ila kesho wamuue uto nyingi
Golden dragon mchina huyoAisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu
Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20
Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu
Jezi (nembo ya mdhamini africarriers) zitavaliwa kifuani na u-20, mabegani na simba queens
View attachment 1950927View attachment 1950928View attachment 1950929
Hata Wachezaji Wanafurahi Kuichezea SimbaNoma sana watu wanagonga glas tu cheers
SubiriYale magalasa ya lile bonde la mbu hutayaona humu
Inaitwa Kuchamba Mpaka Kusasambua Yote......HaaSipati picha manara angekuwepo mpaka leo pale simba mbona angemaliza maneno yote......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] si bwana nanii akituita makolokolo sasa ana pigwa ngumi za macho.mpaka ajuteToo much of every thing is Harmful mkuu!!
Wazawadiwe dar young africans.Imagine wale mademu na u-20 wataanza kula ride kwenye gari tamu hivyoooo, lile tata sijui likfanywe nini sasa? wauze tu
Noma sana ndio maana Morrison kaamua kuinunua kesi.ya kumjibu.manara huko instaHata Wachezaji Wanafurahi Kuichezea Simba
Kutakua na mbasi ma 4 yatakayokuwa bize ni mawili tu la simba queens na la senior team (walio na matatu likiwepo Tata na lile la sports pesa)Golden dragon mchina huyo
Usemalo tayari boss dewj alishasema next season pre season ni kule kwa biden kule kwa kina DC utd [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Simba kija kujenga uwanja wake.
Na ikawa ni constant performer mashindano ya Afrika itazoa mashabiki all over.
Pia ijaribu kukuza brand nje ya Afrika, mfano wawe na utamaduni wa kusajili hata under 20 wawili kutoka maeneo kama vile Indonesia (Ambako pesa yetu ina thamani kuwazidi) na kurisk kuchukua wengine maeneo ya Asia.
Pia friendly match zifanywe hata na timu za ligi daraja la pili za nchi kama Spain au Uk.
Nimeisema Simba kwakua ndiyo timu ninayoona inaweza kufocus nje ya ligi ya ndani.
na anamuweza kweli hadi jamaa anaomba watu wa kumjibia kwa english maan kule Port harcourt nilikuwa nasikia war there war there on the pitchNoma sana ndio maana Morrison kaamua kuinunua kesi.ya kumjibu.manara huko insta
Doh ebwana kama hivi Simba mmejipanga sana.Usemalo tayari boss dewj alishasema next season pre season ni kule kwa biden kule kwa kina DC utd [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wawape mashabiki wetu waendee mikoani au liwe jwa ajili ya kwendea bunju kwenye mazoeziWazawadiwe dar young africans.
lile la zamni kabisa sports pesa pia bado lipo linaweza beba mashabiki kwenda mikoaniWawape mashabiki wetu waendee mikoani au liwe jwa ajili ya kwendea bunju kwenye mazoezi
War is a war today the you know yes and we there fore its us [emoji16][emoji16][emoji16]na anamuweza kweli hadi jamaa anaomba watu wa kumjibia kwa english maan kule Port harcourt nilikuwa nasikia war there war there on the pitch
Kule Utopolo Diamond Aliimba Jahazi ImezamaNoma sana ndio maana Morrison kaamua kuinunua kesi.ya kumjibu.manara huko insta