Aisee naona ni double diff(sijui nimeandika sahihi?) naona pia ndani kuna screens kwa mbele muonekano mzuri kwa kweli tena sana tu
Moja litakuwa kwa senior team,jingine kwa simba queens,jingine kwa u-20
Hongera sana Barbra na mkataba wa milioni 800 juu
Jezi (nembo ya mdhamini africarriers) zitavaliwa kifuani na u-20, mabegani na simba queens
View attachment 1950927View attachment 1950928View attachment 1950929
Fuatilia insta uatona alishasema hilo.na ashaweka.mazingira tayari huko US na urafiki na DC utd ushaanzaDoh ebwana kama hivi Simba mmejipanga sana.
Aisee huyu dada anajua na ana utulivu makini saanaKule Utopolo Diamond Aliimba Jahazi Imezama
Wanapita Kwa Kikwete Wanatimuliwa
Yanga ....Bariidii Tazameni Wenzenu Simba Wamechangamka. Haa
Hakika ila ndio vzr mazingira bora huwa na faida zaidi.katika utendaji njaa huongeza kushindwalile la zamni kabisa sports pesa pia bado lipo linaweza beba mashabiki kwenda mikoani
[emoji1320][emoji1320][emoji1320]So far so good. Tunahitaji sasa raha ihamishiwe uwanjani. Wachezaji wajitume na washinde mechi. Tumefahamu kua kuna bonus kibao kwa kila ushindi, facilities za kila aina mnapata. Kazi kwenu
Hakuna Maneno Isipokuwa Vitendo UkweliAisee huyu dada anajua na ana utulivu makini saana
Sana wasimjibu yule jamaa wamwachie tu morrison ambamize huko instaHakuna Maneno Isipokuwa Vitendo Ukweli
Eneo La Upashanaji Habari Simba Imeweza
Hakuna Maneno Ya Kuudhi Wala Kebehi
Yule Anajua Kuwa Amelamba Mav* Ya MbuziSana wasimjibu yule jamaa wamwachie tu morrison ambamize huko insta
Alishapoteza ramani baada ya kuvuruga kwenye siasa. Simba wakamrudisha kwenye chati za umaarufu na hakujumbuka fadhilaManara anajuta sana huko alipo
Eti yeye ndio kaipa simba umaarufu manina wakati sie ndio tumempa umaarufu sababu ya matokeo yetu mazuri
Kam simba wakiendelea hivi it means baada ya miezi 6 mbele kuna kizazi fulani cha kuwa na wasemaji wenye matusi kitakataliwa automatic na mashabiki kama vile makomandoo walivyokataliwagaHakuna Maneno Isipokuwa Vitendo Ukweli
Eneo La Upashanaji Habari Simba Imeweza
Hakuna Maneno Ya Kuudhi Wala Kebehi
Hakika. Siku hizi anajijibu mwenyeweYule Anajua Kuwa Amelamba Mav* Ya Mbuzi
Maana Kaondoka Alipokwenda Hatakiwi
Yule Wasimjibu Kitu Ila Wampuuze Tu
Anawaaminisha Jezi Mbovu Kumbe Kaichana
Asamehewe BureHakika. Siku hizi anajijibu mwenyewe
Unawasubiria na mwiko wako nyuma?Hongereni.
Lakini nawasubiria sana pale JANGWANI. "TIMU YA WANANCHI" inawangojea huku.
"Forward Ever Backward Never"
Dawa viongozi wazidi kupiga kazi na wachezaji muda utamhukuAsamehewe Bure
Sahihi. Wanaweza watoza hata nauli ya kawaida tu ya abiria hadi mkoa fulani. Na baadaye wanaweza weka zones of fans na huko kuna kuwa na mabasi samples wanakwenda nayo kwaajili ya mashabiki. Itakuwa ndo timu pekee inayojali mashabiki wake. Na itaongeza sana washabiki. Kama watu wanaweza kodi basi kutoka mkoa mmoja kwenda mmoja wanashindwa nini kulipa kama nauli tu kuchangia timuWawape mashabiki wetu waendee mikoani au liwe jwa ajili ya kwendea bunju kwenye mazoezi
Viongozi Wafanye Kazi Nzuri IliyotukukaDawa viongozi wazidi kupiga kazi na wachezaji muda utamhuku
NenoSahihi. Wanaweza watoza hata nauli ya kawaida tu ya abiria hadi mkoa fulani. Na baadaye wanaweza weka zones of fans na huko kuna kuwa na mabasi samples wanakwenda nayo kwaajili ya mashabiki. Itakuwa ndo timu pekee inayojali mashabiki wake. Na itaongeza sana washabiki. Kama watu wanaweza kodi basi kutoka mkoa mmoja kwenda mmoja wanashindwa nini kulipa kama nauli tu kuchangia timu
Jibu la.mwenye hekima huwa ni kimya au kufanya yaliyo.kweliViongozi Wafanye Kazi Nzuri Iliyotukuka
Waepuke Kumjibu Hekma Busara Viwatawale